GEORGE BUSH in TANZANIA (pictures only thread)

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Jamaa wako chini ya Shin Bet/Shabak ila wa kuwaogopa ni wale jamaa wanaoitwa Kidon.
304364210.jpg

304364206.jpgHii ya Presidential Security inahitaji Thread yake let me gather some info and pics.

CO SIGN

hao KIDON kwanza hawapo kabisa hata kwenye paper

kama unakumbuka ile movie ya Soielberg ya MUNICH basi wale ndio KIDON actually hata SHIT BET hawajui Kidon wako chini ya nani

Ukisikia hizi assassinations za watu kama akina MUGHNIYE basi ujue hao ndio KIDON wako kazini

I am very impressed kwa kweli na info zako mzee

thumbz up

On a flip side tazama UNIFORM za hao SHABAK wanaomlinda PM wa ISRAEL jamaa kwanza wanaonekana wako tayari 24/7 sio jamaa zetu na vitabi na Kaunda suti zao
 
Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Mar 24, 2007
3,065
1,195

Watanzania Tumekosa kabisa Uzalendo, kila mtu anafikiri fedha mfukoni ndo maendeleo na ukombozi.

Ile miaka ya 60 polisi wetu na wajeshi walikuwa wakipigwa msasa Israel ndiyo maana tulikuwa na Polisi wa nguvu.

Msure wangu pia alipigwa msasa wa mwaka 1 huko Israel mwaka 1964.
Jamaa alikuwa fiti kweli kweli nakumbuka akiwa na miaka 65 alikuwa mzima sana mkono ukianza Bar vijana wadogo wa miaka 25-30 walikuwa hawaamini macho yao alipokuwa akiwadunda na kuwatoa nishai mbele za mademu zao,sasa hivi yuko kwenye late 70 hata mtungi wenyewe hautamani, lakini bado anaweza shika visu viwili kwenye, akivirusha anahit target 2 tofauti bila kukosa .

Sasa sijui hata mafunzo ya ukomandoo nayo watu wataanza kufoji kama wanavyo foji PhD na Masters?
Jeshi letu wengi ni la vilaza watupu wanapandishwa vyeo kifisadi kwa kuzingatia nani anawafaa kisiasa na nani ni nuksi.

Siku inakuja ambayo wote tutalipia uzembe huu wa kukumbatia watu wasio iva kwenye fani.

Sasa ukifoji ukomandoo mzee wangu si unajipa shughuli ya Bure?

Namshangaa sana Kikwete kuendelea kukumbatia watu waliofoji elimu, hawamsaidii yeye wala wananchi wa Tanzania.

Ugeni huu utatuonyesha jinsi wenzetu walivyojiandaa na kila kitu na wasivyo kuwa na mchezo katika jambo lolote lile.
 
Kasana

JF-Expert Member
Apr 3, 2007
417
225
Huyu dereva atakuwa si mzima kwa kichwa..tope lote hilo anatapitisha gari wakati hata gear za kwenye matope hakuna..matatizo mengine wanakuwa wanajitakia madereva wenyewe...ila Bush kaja kusaidia hayo maana mpunga aliotoa wa bil700 ni wa kwenye barabara so natumai mafisadi hawatazifanyia kazi hizo pesa

Hana altenative nyingine zaidi ya kupita hapo hapo.
Unaweza kuamini barabara ya kibiti-Lindi wakatai wa masika ilikuwa ni zaidi ya hapo. mabasi ya kule yote huwa yanabeba majembe, masululu and the likes hadi ukifika unakokwenda, unakuwa kama umetoka kulima.

AHSANTENI WAKUU KWA PICHA,.......... Tuendelee na picha.
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0

CO SIGN

hao KIDON kwanza hawapo kabisa hata kwenye paper

kama unakumbuka ile movie ya Soielberg ya MUNICH basi wale ndio KIDON actually hata SHIT BET hawajui Kidon wako chini ya nani

Ukisikia hizi assassinations za watu kama akina MUGHNIYE basi ujue hao ndio KIDON wako kazini

I am very impressed kwa kweli na info zako mzee

thumbz up

On a flip side tazama UNIFORM za hao SHABAK wanaomlinda PM wa ISRAEL jamaa kwanza wanaonekana wako tayari 24/7 sio jamaa zetu na vitabi na Kaunda suti zao

Speaking of Vitambi na Kaunda suti

Secret Service wakati Bush Sr na Clinton wametembelea maeneo yaliyo athirika na Tsunami
304377207.jpg

Paspampres
304377208.jpg
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,312
2,000
lakini unajua jamaa wa ISRAEL ni kiboko ya wote hawa?

Hakuna lolote...hivi nyie hamjui kuwa Wa-Israel wanachukua mafunzo US? kAMA HAO wA-iSRAEL NI KIBOKO INAKUWAJE WAZIRI WAO MKUU ALIUWAWA MBELE YA KADAMNASI MWAKA 95?

ACHANA NA SECRET SERVICE YA MAREKANI BANA....TAIFA KUBWA HILI...HUWEZI HATA KIDOGO UKALILINGANISHA NA ISRAEL...
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Speaking of Vitambi na Kaunda suti

Secret Service wakati Bush Sr na Clinton wametembelea maeneo yaliyo athirika na Tsunami
304377207.jpg

Paspampres
304377208.jpg

ebwan huyu ni susilo bang bang wa indonesia nini?

NOT SURE BUT THATS MY WILD GUESS
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Hakuna lolote...hivi nyie hamjui kuwa Wa-Israel wanachukua mafunzo US? kAMA HAO wA-iSRAEL NI KIBOKO INAKUWAJE WAZIRI WAO MKUU ALIUWAWA MBELE YA KADAMNASI MWAKA 95?

ACHANA NA SECRET SERVICE YA MAREKANI BANA....TAIFA KUBWA HILI...HUWEZI HATA KIDOGO UKALILINGANISHA NA ISRAEL...

Mzee labda hukuelewa tulichokuwa tunakiongelea

Nahisi unazungumzia SHIN BET as a whole na ndio ambao walikuwa na responsibility ya kuwasimamia hao General Security Service (GSS)ambao ndio kazi yao ilikuwa ni kumprotect Rabin

Sisi hapa tunazungumzia jinsi gani KIDON walivyokuwa effective katika ku exceute kazi zao bial kupewa mijisifa au nishani zozote zile. Na ukiangalia performance yao in the last 3 years utaona they have been pretty good really tena kwa kuangalia scale ya profit and Loss especially ukizingatia wamezungukwa na hostile neighbours and i am not talking about Iran but immediate Arabs
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
Hakuna lolote...hivi nyie hamjui kuwa Wa-Israel wanachukua mafunzo US? kAMA HAO wA-iSRAEL NI KIBOKO INAKUWAJE WAZIRI WAO MKUU ALIUWAWA MBELE YA KADAMNASI MWAKA 95?

ACHANA NA SECRET SERVICE YA MAREKANI BANA....TAIFA KUBWA HILI...HUWEZI HATA KIDOGO UKALILINGANISHA NA ISRAEL...

Lol mbona USSS nao Kennedy si alifia mikononi mwao, Reagan naye alikuwa shot mikononi mwao as well...

soma hapa kuhusu bodyguard wa Yitzak Rabin
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,179
2,000
Nimeweka picha nyingi zaidi kwenye KLH News "Pics and Docs" mnaweza kuchagua na kuziweka kwenye link hii moja moja..
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
Hivi ni macho yangu mimi ama JK siku hizi anavaa sana hii mibody armor vest?
withpresidentkikwete.jpg

wassupmrpresident.jpg
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,063
0
Hakuna lolote...hivi nyie hamjui kuwa Wa-Israel wanachukua mafunzo US? kAMA HAO wA-iSRAEL NI KIBOKO INAKUWAJE WAZIRI WAO MKUU ALIUWAWA MBELE YA KADAMNASI MWAKA 95?

ACHANA NA SECRET SERVICE YA MAREKANI BANA....TAIFA KUBWA HILI...HUWEZI HATA KIDOGO UKALILINGANISHA NA ISRAEL...

Kennedy aliponyukwa risasi walikuwa wapi hao secret service? usisahau hata reagan alinyukwa risasi, sijuwi walikuwa wapi? FYI, usione hollywwod inavyowafagilia ukaona huo ndio ukweli, ukweli ni kwamba hamna mafisi kama wamerekani, muulize Mullah Omar.
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,102
2,000
Inv kumbe nawe mtundu eeh...
Masatu...

Hizo ni baadhi ya picha ambazo nadhani waandishi hawakuzitilia maanani ila ni fundisho kwa "Wakubwa" wetu wenye jinsia yake kuona anavyovaa. Huenda tukamwona Mama Rwakatale siku moja akiwa kavaa hivo.

Na nguzo za taa za barabarani jijini Dar zilionekana hivi:

Bush-Dar.jpg

MtuKwao

JF-Expert Member
Oct 7, 2006
251
225
..hata mie nimejiuliza hilo,nikakumbuka kuwa sie tunapenda sana wageni.

Ndiyo!
Siyo vibaya kupenda wageni, lakini kumpenda zaidi mgeni kuliko mwenyewe ni ukarimu ambao hata mgeni ataushangaa/au kuuchekelea..

Kama wanavyoendelea kuuchekelea wakiwa wanachota mabilioni ya Tanesco, Dhahabu, Gesi, Almasi ...

Kwenye nguo aliyovaa Mhe Waziri Sitta, angalau bendera yetu imo, Kwani bendera za Marekani zimeonekana zikipepea kwenye milingoti ya taa barabara ya Nyerere .. Bendera yetu haipo!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom