GEORGE BUSH in TANZANIA (pictures only thread)

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
mbona Hamsemi Hiyo Bendera Yetu Inavyokanyagwa Kwenye Hilo CARPET?

Sijawahi Kuona Zulia La Nchi Likiwa Na Bendera Kasoro Letu Sisi

What A Bunch Of Losers We Are!
 
Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
four.jpg

five.jpg

six.jpg
 
Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
mbona Hamsemi Hiyo Bendera Yetu Inavyokanyagwa Kwenye Hilo CARPET?

Sijawahi Kuona Zulia La Nchi Likiwa Na Bendera Kasoro Letu Sisi

What A Bunch Of Losers We Are!

Zulia la Bungeni lina bendera ya taifa! siku hizi tumeamka tushaondoka huko watu wanavaa vitambaa kichwani, bendera wa kwenye magari kama majuu...
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,409
2,000
No picture- no right to comment- hii ni thread ya picha!

Mzalendohalisi, inabidi umwambie brazameni... yeye mwenyewe ndiye kaanza ku comment baada ya kutoa masharti watu wasifanye hivo alipoanzisha thread, na bado hapo juu tu ya post yako katoa comment nyingine.... halafu nawe umetoa comment ya maandishi kisha nami nika comment kuhusu maandishi yako kuwa nayo ni comment ya maandishi.... :)
 
Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
Mzalendohalisi, inabidi umwambie brazameni... yeye mwenyewe ndiye kaanza ku comment baada ya kutoa masharti watu wasifanye hivo alipoanzisha thread, na bado hapo juu tu ya post yako katoa comment nyingine.... halafu nawe umetoa comment ya maandishi kisha nami nika comment kuhusu maandishi yako kuwa nayo ni comment ya maandishi.... :)

Halafu na mimi na comment kimaandishi kuwa thread hii ni picha tu..
 
senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
1,225
Noma.jpg

Wangempeleka na huku basi aone "hali zetu"

Huyu dereva atakuwa si mzima kwa kichwa..tope lote hilo anatapitisha gari wakati hata gear za kwenye matope hakuna..matatizo mengine wanakuwa wanajitakia madereva wenyewe...ila Bush kaja kusaidia hayo maana mpunga aliotoa wa bil700 ni wa kwenye barabara so natumai mafisadi hawatazifanyia kazi hizo pesa
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
Hii naona bora tuifanye iwe PICTURES only thread..badla aya mijadala na mabishano yasiyo na kichwa wala miguu

Post picha jamaa hapa..I am mroe interested na hiyo security detail yake...kinda like the way SECRET SERVICE wanavyo dress smart siyo USLAMA WA TAIFA na kaunda suti zao na MIJI REDIO MIGUBWAAA....

uwanja wenu ma critics

mimi naanza na picha hii ya jana kule BENIN..HEBU TAZAMENI KWA MAKINI hii picha

_44431253_bushkids_ap416.jpg

Just Look at those kids expressions......

They know this is some bullsh*t from BUSH in short hawa watototo wamestukia BUSH big time

Mzee nipe dakika kadhaa nimconsult mtu wangu wa mambo hayo nitakuja na details....lakini itabidi niende kwenye coffee shop maana sitaki Alphabet Boys wanigongee mlangoni.

Planning for a trip
From the moment a trip is discussed in the White House, secret service agents begin looking at the various security scenarios. Plans are worked and re-worked, taking in changing intelligence information.

US snipers on rooftops and American agents manning security gates Advance teams of agents are then dispatched to the various destinations on the president's itinerary.

When the president does finally turn up, he does so with a small air force, a massive entourage and a motorcade of armour-plated vehicles. These include the president's bullet-proof limo, a military ambulance and a communications van packed with state-of-the art devices.

Around 250 heavily-armed secret service agents, dozens of advisers and teams of sniffer dogs escort Mr Bush on most foreign trips. White House cooks join government political aides.

"When the president travels, the White House travels with him from the cars he drives, the water he drinks, the gasoline he uses, the food he eats,"

Angalia Dillon Aero hii inatema mpaka risasi 4000 kwa dakika

Hili gari hapa chini ndio linalotumika kuzima mawasiliano ya simu za mikononi

301450764.jpg
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,409
2,000
Duuh, eebwana, hiyo kitu 'dillon' inatema cheche kama imechanganyikiwa vile, haipumui..... nilifikiri ni mlio wa gari.. kumbe risasi zinatoka..... yaani... druuuuuuuuuuuuuu druuuuuuuuuuuu druuuuuuuuuuuuuu tu!
 
Imagine myukon wako una kitu kama hicho mounted..?
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Mzee nipe dakika kadhaa nimconsult mtu wangu wa mambo hayo nitakuja na details....lakini itabidi niende kwenye coffee shop maana sitaki Alphabet Boys wanigongee mlangoni.

Planning for a trip
From the moment a trip is discussed in the White House, secret service agents begin looking at the various security scenarios. Plans are worked and re-worked, taking in changing intelligence information.

US snipers on rooftops and American agents manning security gates Advance teams of agents are then dispatched to the various destinations on the president's itinerary.

When the president does finally turn up, he does so with a small air force, a massive entourage and a motorcade of armour-plated vehicles. These include the president's bullet-proof limo, a military ambulance and a communications van packed with state-of-the art devices.

Around 250 heavily-armed secret service agents, dozens of advisers and teams of sniffer dogs escort Mr Bush on most foreign trips. White House cooks join government political aides.

"When the president travels, the White House travels with him from the cars he drives, the water he drinks, the gasoline he uses, the food he eats,"

Angalia Dillon Aero hii inatema mpaka risasi 4000 kwa dakika

Hili gari hapa chini ndio linalotumika kuzima mawasiliano ya simu za mikononi

301450764.jpg

lakini unajua jamaa wa ISRAEL ni kiboko ya wote hawa?
 
Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,082
0
These include the president's bullet-proof limo, a military ambulance and a communications van packed with state-of-the art devices.

Around 250 heavily-armed secret service agents, dozens of advisers and teams of sniffer dogs escort Mr Bush on most foreign trips. White House cooks join government political aides.

"When the president travels, the White House travels with him from the cars he drives, the water he drinks, the gasoline he uses, the food he eats,"

Kwahiyo ina maana aki-choke kwenye pretzel, hamna cha muhimbili eh?
Halafu hicho ki-250 armed unit, ukute cha makomandoo kinaweza toa nishai jeshi zima la Tanzania.

Hivi Kikwete huwa anaenda na mpishi wake? Au anakula kichwa kichwa tu?Lol.
 
Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
lakini unajua jamaa wa ISRAEL ni kiboko ya wote hawa?

Jamaa wako chini ya Shin Bet/Shabak ila wa kuwaogopa ni wale jamaa wanaoitwa Kidon.
304364210.jpg

304364206.jpgHii ya Presidential Security inahitaji Thread yake let me gather some info and pics.
 
Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
873
0
Hakuna cha Dillon Aero wala nini hapa. Jana Kichaka kawekwa kwenye ungo hadi Bagamoyo, Msata, Mwanalumango, Gezaulole hao wapambe zake bila habari. Picha tutawaletea baadae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom