GEORGE BUSH in TANZANIA (pictures only thread)

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,551
776
Hii naona bora tuifanye iwe PICTURES only thread..badla aya mijadala na mabishano yasiyo na kichwa wala miguu


Post picha jamaa hapa..I am mroe interested na hiyo security detail yake...kinda like the way SECRET SERVICE wanavyo dress smart siyo USLAMA WA TAIFA na kaunda suti zao na MIJI REDIO MIGUBWAAA....

uwanja wenu ma critics


mimi naanza na picha hii ya jana kule BENIN..HEBU TAZAMENI KWA MAKINI hii picha

_44431253_bushkids_ap416.jpg


Just Look at those kids expressions......

They know this is some bullsh*t from BUSH in short hawa watototo wamestukia BUSH big time
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,279
112
Huyu Prof Maghembe nae noma kweli kakosa suti ya maana sijui aah watu wengine noma kweli...
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,740
104,885
Jamani jamani Marekani....hebu ona huyo mama gauni lake...lina picha ya Bush...lakini ya Kikwete sijaiona.....USA...USA...USA...I love the USA
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,279
112
Jamani jamani Marekani....hebu ona huyo mama gauni lake...lina picha ya Bush...lakini ya Kikwete sijaiona.....USA...USA...USA...I love the USA

Tena huyo ni waziri na pia mke wa Spika anaitwa Mama Margareth Sitta...
 

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
Ndo inaonyesha uelewaji wake wa American Foreign Policy..hivi viongozi wetu hawajui kwamba wanasiasa wa Republicans wamemsend bush away on holiday asiwaunguzie campaign zao against Hilary and Obama...kama waziri wetu anavaa hivi kaazzzz kweli kweli...
 

Nikifufukammekwisha

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
260
6
Mi nimecheka saaaaana nilipoona mawaziri wote kwa mara ya kwanza katika historia ya TZ wamevalishwa vitambulisho... Duh, hii kali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom