Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Namba 3 ni kiungo likijaa 11-10-7
Ndipo yanajaa hayo mengine
 
Inategemea na presha ya maji plus diameter ya outlet pipes.
Hata namba moja inaweza kujaa kwanza iwapo inlet presha > outlet pressure.
Usicomplicate mambo, take it as is, mchoro unaonyesha mabomba yana upana sawa, pia maji yote yanatoka kwenye bomba moja na hivyo presha ni sawa, na pull of gravity ni ile ile through out
 
Hapa tunaweza umiza vichwa sana lakini ikiwa mweka uzi angetoa details juu ya haya ingekuwa bomba , je mapipa yote yana ujazo sawa ? Na je volume ya inlet na outlet ni sawa kama tutapata majibu basi ni easy kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi ni namba mbili kwa kuwa hakuna njia rahisi ya maji kuondoka...
Unakula maharage mkuu, hiyo namba mbili haiwezi kupata maji kabla namba tatu haijapata maji... angalia hiyo namba moja kuna bomba kwa chini kabisa.
 
Namba 2 ili lijae ni lazima Namba 1 lijae, ila haliwezi kujaa kwa sababu maji yanapitiliza kwenye pipa 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom