Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Hivi maji yanaweza kuanza kuingia kwenye 10 kabla hayajajaa kwenye saba kwanza? Note: kujaa haimaanishi hadi yafike kwenye kimdomo na kumwagika
Ongea kisayansi na usiongee kimtamtaa, mtu anapozungumzia kuwa chombo fulani kina cm3 anamaanisha nini?
 
Namba 7

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Maji yatajaa Kwanza tanki namba 7, sababu, maji kutoka 0 yanaingia kwa juu kwenye 1 na kuendelea 3. 2 itaanza kupata maji baada ya 1 kujaa. 3 inatoa maji kwa chini kwenda 7 na ikijaa ndipo inapeleka 4, 5, 6. 7 ikijaa ndipo inapeleka 10 na 11. Kwa hiyo 7 Ndiyo itajaa Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom