Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

ni 7 mkuu kwa sababu tobo lake limewekwa juu kabisa tofauti na mengine hivyo haliwezi kulisha pipa lengine bila lenyewe kujaa

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
Kama ujazo wa Piper no.7 ni liter 500,halafu hiyo piper imeingia mpka kwenye liter 450 huoni kuwa hiyo no.7 itakuwa inakabilia na utolewaji wa maji mpka piper no 11 litapojaa ndipo pipe iruhisu maji yajae mpka kufikia liter 500
 
Pipa litakalo Anza kuja ni Pipa namba 11, Ukiangalia huyo plumber alivyoyatoboa hayo mapipa utaelewa kuwa pipa namba tatu linaruhusu maji kuelekea kwenye mapipa 7 na 10 kabla ya lenyewe kuja na kuruhusu maji kwenda kwenye kundi la mapipa yanayopokea maji kutoka 3, ambapo yanajengwa na pipa namba 4
Elewa swali.... Pipa lipi litakua la kwanza kujaa mkuu? No 7 lazima liwe la kwanza kujaa then ndo mengine yafate kulingana n uo mzunguko, upo? Au nkuulize.... Kabla ya no 7 kujaa, pipa gan litakua la kwanza kujaa kabla ya no 7?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi ni namba mbili kwa kuwa hakuna njia rahisi ya maji kuondoka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom