Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Maji yatajaa Kwanza tanki namba 7, sababu, maji kutoka 0 yanaingia kwa juu kwenye 1 na kuendelea 3. 2 itaanza kupata maji baada ya 1 kujaa. 3 inatoa maji kwa chini kwenda 7 na ikijaa ndipo inapeleka 4, 5, 6. 7 ikijaa ndipo inapeleka 10 na 11. Kwa hiyo 7 Ndiyo itajaa Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann isiwe 0
 
Namba 2, kwa sababu

a) Lipo karibu na chanzo cha maji (Its so close with water source)

b) Maji yanaingia tu na hayatoki (It has only inlet and no outlet)
 
Mtirirko sahihi ni huu 7-11-10-3-8-4-9-5-6-1-2-0


Wakuu simplemind na FRANCIS DA DON mpo sahihi ,nadhani mlisoma wakati Mawaziri wa Elimu walikuwa kati ya hawa
Chediel Mgonja,
Tabitha Siwale,
Jackson Makweta,
Prof.Kighoma Ali Malima,
Dr Pius Yasebasi Ng'wandu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom