Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Itaanza kujaa kama orodha ilivyo 11, 10,7,3 ,8, 9, 6, 5, 4, 3, 2,1, 0
 
11 haliingizi maji hadi 7 lijae.
7 halijai mpaka 11 ijae. Angalia vizuri bomba linalotoa namba 7 halijafungwa mdomoni kabisa hivyo , maji yakifika yanakaribia kujaa yataelekea namba 10 ambayo yatapitiliza moja kwa moja kwenda kujaza pomoni namba 11. Namba 11 ikifurika maji yataanza kurudi nyuma kujaza namba 10 na hatimae kale kanadfasi kadogo kalikobakia namba 7 katajazwa na mchezo utaendelea kwa back ward movement mpaka yote yajae pomoni.
 
Hapa inategemea kiwango cha maji yanayoingia na kutoka! Mfano kama maji yanayoingia pipa namba 0 ni mengi zaidi kuliko yanayoingia pipa namba 1 basi namba 0 litajaa mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namba 7

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
mkuu ulikuwa darasa la saba a, b, c au d?

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
Stricly speaking which tank fills first depends on host of factors, discharge rate of tap , diameter of connecting pipes , friction coefficient of pipes , viscosity of water , bend losses etc. Indeed if discharge of tap is high and diameter of pipes are small tank 0 will fill up before the other tanks. Assumption here is slow discharge of tap. The system of tanks can be mathematically modelled- a series of simultaneous differential equation whose solution gives the level of water in each tank at a given time. I rest my case.
 
You have not given any of the above, that shows that they are constant.

Common Sense Is Not Common.
 
Back
Top Bottom