Gazeti letu la Udaku JF..

*Katavi aacha kazi Ubalozi wa Uingereza...ni baada ya kukerwa na sera za ushoga za Cameron.
*Aamua kujikita katika Kilimo Kwanza...asema kuajiriwa sasa basi.
 
amn'goa kirahisi kama kusukuma mlevi vileeee...waenda gesti kwa mnyamani buguruni...rejao azomewa na watu kwa kukutwa akipiga chabo..
Varangati laibuka gesti kisa Saint Ivuga alikuwa bize kuchat kwa PM na mwanamke mwingine wakati wapo chumbani na Feis buku badala ya kufanya kilichowapeleka..feis buku azinasa PM hizo na kugundua ni za First Lady..!!
 
Nakusubiria nyumbani...andaa counterbook la maelezo!!
 
Haaaaaaa Rejao ala shavu ikulu Haaaaaaaaa, Mwita25 apokelewa kwa shangwe chadema, feis buku amtongoza King kong III,Washawasha kashindwa ku-log off kwa kumshangaa Husninyo,ritz atoswa kwenye kura za maoni,katavi arudiana na la azizi wake

ritz na upambe wote ule katoswa?dah!!
 
Consigierle aka Mzee wa mandevu na mainglish aachana na kilimo kwanza na kujikita na muziki wa jf fleva.
Ishiii, JF flava?
Ila kwasasa eti amejipa ban kwa mujibu wa post yake hii hapa katika thread moja ya 'Uchawi Mtwara'.

 
The Finest na Mr.Rock wapigana kikumbo kwa .......
Inaendelea page 2.

eliza wa kwako bwana mambo
ya kutuletea mabaameid wenu kutupiga mkwra humu jf sio vizuri bwana mnawaregister huku wa nini?

Babu Aspirin akutwa chocho mbaya na Eliza.Fidel aja juu,anadai alishamhonga Eliza laptop na kumpangia geto.

*Katavi aacha kazi Ubalozi wa Uingereza...ni baada ya kukerwa na sera za ushoga za Cameron.
*Aamua kujikita katika Kilimo Kwanza...asema kuajiriwa sasa basi.
Dah!!!!:lol::lol:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…