Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,802
- 27,026
mkuu fujo unafanya kilomita tatu mbali na polisi?? si unafanya papo kwa papo??? sie fujo hazikua long distance ya 3Km mkuu.......... au ya ualimu yana sauti tofauti na injiniaring au sosholojia au hisabati???
LOL
duh! It seems nimezeeka vya kutosha sasa kiasi cha kupoteza uwezo wa kuelewa na kufuatilia mijadala.
Nilidhani tunaongelea umbali ambao sauti inaweza ikasikika, kumbe ulikuwa unamaanisha venue?
Japo nitajionea acha nijipige ban ya wiki nzima kwa kosa la kutoeleweka.