El toro je?
Ni me miss Saint Ivuga jamani
HaHaha...lol..nimecheka sana. Yaelekea Smile unafanya kazi kwenye moja ya magazeti ya udaku hapa nchini!!
Teh Teh Teh
Fidel80 afumwa akipiga chabo
asubuhi saa 12:00
Rejao afanyiwa plastic surgery
hunishindi mimi ....TANMO kanivunjia heshima hapo juu kwenye thread
ameshindwa nini kuandika ivuga amuoa kimwana (afro d) wa jf? aminata9 ajinyonga
hahahahahah
nadhani anajua miondoko yako kai twist tu ..
Ndo nini tu kupotea hivyo lakini? Mzima ?
HaHaha...lol..nimecheka sana. Yaelekea Smile unafanya kazi kwenye moja ya magazeti ya udaku hapa nchini!!
mimi mzima ..najiandaa x mass soon..wewe mzima lakini?
Hayawi hayawi... Pakajimmy amvisha pete ya uchumba miss judith.
El Toro akamatwa na TV ya Paw iliyopotea wiki mbili zilizopita..
Siamini hii toka kwa dada yangu mpendwa