Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

............ udaku la jf lazidi kupoteza umaarufu,
hii ni baada ya mapedeshee wote kukimbia kamera za mwandishi maarufu Mapendo.
TANMO.
 
hahaaaaa nimecheka mpaka mbavu zinauma nyie watu nyie !....haya mauzo ya gazeti yanaanza lini?
hivi ile skendo ya kukopa nguo na viatu bila kulipa hadi ukaitiwa polisi uliimalizaje?? nakumbuka uliileta humu jamvimi muda fulani wakati ndio unajiunga

:eyebrows::rant::rant::rant:
 
Kumbe FaizaFoxy ni Kikojozi

Yule Mwanamama maarufu katika Jukwaa la Siasa na ambaye anasadikiwa kubeba mikoba ya Mafisadi bi FF ni kikojozi wa Kutupwa JF Udaku limefahamishwa!

Habari kutoka katika Mtaa anaoishi huko Ilala zinanyetisha kwamba Bibi huyo amekuwa akiimbiwa kindumbwendumbwe mara kwa mara hali inayomfanya afikirie kurudi kijijini kwao Maneromango.

"Mimi mtu siwezi kudhalilishwa hivi na vitoto vodogo ni bora nirudi kijijini nikalime mihogo" alinikuliwa akililalamika Bi FF. Ndugu jamaa na marafiki wmaemsahauri amuone Dr. Riwa kwa ushauri na Matibabu zaidi.

Ni wiki ya pili sasa Mwanadada huyo amejifungia Nyumbani kwake
 
Wazo zuri saaana na mimi natangaza NIA kua mueka HAZINA ofcz we can't establish gazzete w/out FUND! c.v zote za uhazini ninazo am C.P.A holder.
My short profile as follows ; Nina miaka 75 , Nimeoa na ninamiliki wake wa3. Nina watoto 18 kati yao 12 wanasoma prvt schools.
Nnaishi nyumba ya kupanga nyumba yangu mwenyewe imekwamia kwenye renter baada cement kupanda bei.
Kwa sifa hizo nikipewa uhazini nitaifanya kazi hiyo vizuri sana, vote to me Judgement plz.
 
Tuonane kwanza ili uweke mazingira sawa niweze kukupa kura yangu.
 
Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw
the finest afumwa gesti na faiza fox

nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin

YO YO amvalisha pete ya uchumba smile

ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa

asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee

rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani

malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake

the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini

lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu

afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas

bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake

mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya

mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia

invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi

aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga

nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu

Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA

nitaendelea badae
Duh! Bonge la Kashfa!
 
"Sababu ya Maria Roza kupotea JF yafahamika".

Sababu ya yule mwanadada maarufu katika majukwaa ya MMU na JLW kutoonekana hapa JF kwa muda mrefu imefahamika.

Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimetaarifu kwamba Maria Roza mwenye mme na watoto watano ndie yule mwanadada alieng'ang'ania kupanda jukwaani siku ile Fally Ipupa alipokua akitumbuiza pale viwanja vya Leaders' Club.

Siku hiyo ambayo akina dada wengi walikua wakigombania nafasi za kumnengulia Ipupa,Maria Roza akiwa amevalia sketi na blauzi za kijani,huku sehemu ya tumbo ikiwa wazi (ikionyesha na brazia yake iliofubaa),alianguka wakati akigombania kupanda baada ya kua akizuiliwa na wadada wengine na mabaunsa.

Baada ya mtiti huo MR alifanikiwa kwenda kumkumbatia Ipupa alieonekana kutofurahia uwepo wa MR karibu yake,kutokana na MR kua hana haiba ya mvuto kama Lizzy,ambao Ipupa alifurahia kucheza nao.

Kutokana na huo mkasa,mmewe MR alichukia sana na kumrudisha MR kijijini kwao Mkubiru,Mtwara ambako hakuna umeme wala mtandao wa kumwezesha MR kujiacha hapa JF.

Hadi gazeti hili linajiandaa kuchapisha habari hii,simu ya MR ilikua haipatikani. Mwandishi wetu alipompigia mme wake MR alipokea na alivyosikia ni juu ya mkewe alikata simu. Gazeti liliwapigia rafiki zake MR (Dena Amasi, Lizzy na Afrodenzi) wakasema walisikitishwa na kushangazwa na rafiki yao kufanya kile kituko,na ni kweli MR karudishwa kijijini kwao na hapatikani kwenye simu!
 
Na uzoefu wa miaka 5 kupiga picha za mitaani, naweza pata ajira walau watoto wapishane mlango wa toilet??
 
Salute mkuu ahahaaakwa kuongezea
invisible afumaniwa na mke wa paw
the finest afumwa gesti na faiza fox

nyani ngabu achezea kichapo chooni airport alikuwa anamtorosha mke wa krolokwin

YO YO amvalisha pete ya uchumba smile

ashadiii arudi jukwaani kwa mbwembe barabara zote zafungwa

asprini afumaniwa tena na baamedi walikuwa uchi kaunta mchana kweupeeeeee

rejao aula ikulu,ritz atupwa wizarani

malaria sugu kampokea yesu jangwani arudisha vibuyu vyote vya uchawi,asema alirithi kwa jirani yake

the boss aoa tena mke wa pili azua balaa harusini

lizzy aachika tena kwa the finest sasa ajichimbia kwa mr rocky mke wa mr rocky aja juu

afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

fesi buku na cantalisia wamgombania figaniga mzee wa mia bilcanas

bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake

mamndenyi arudi kwa mumewe asema hawakukutana vichochoroni wapambe jinyongeni

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya

mzizimkavu afumwa live na kizee usiku wa manane uchi adai alikuwa anamfundisha tiba asilia

invisible aachia ushuzi kwenye kikao,wadhamini wajitoa kusaidia jamii forums alimwa barua ya kuachishwa kazi

aminata amwibia mzungu hotelini,ajichimbia south kwasaint ivuga

nasjaz adai wanaume wa bongo hawajui mapenzi sasa hv kujichimbia uarabuni tu

Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA

nitaendelea badae

Hilo gazeti litakuwa la kifumanizi zaidi!!!!
Mafumanizi weeeeeee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom