Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10

mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo

safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu

hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?

AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...


huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?
hahahaha....lol, naona leo Asprin umekuja na stail mpya. Ina maana hii post haikuwa kwenye jukwaa husika? ingetakiwa iwe hapa kwenye gazeti letu pendwa?
 
Gazeti letu la udaku limefikiwa na tetesi kuwa Bishanga amemweka ndani Eliza wa tegeta,
tulimtafuta mtu wa karibu na Eliza Tegeta ambapo hilo chanzo lilidai Eliza wa Tegeta ni dume la mbegu.
gazeti letu ilipowatafuta kwenye simu namba zao hazikupatikana hewani.
 
"kaizer akutwa katika mtaro mkoa jirani baada ya kufakamia pombe alipokuwa amekwenda kwa matembezi w/end habari zaidi zitatolewa pindi muhusika atakapozinduka"

"Hali ya Blaki Womani tete"
  • Alazwa ICU mwananyamala
  • Ni baada ya kumchafua Kaizer
  • Yabainika mlevi aliyedhaniwa kuwa ni Kaizer, ni TF
  • Ndugu walonga

Habari zilizodondoka meza ya udaku zinapasha kuwa hali ya yule mwanamke aliyejizolea umaarufu JF kwa kupenda kusifia u blaki wake akienda kwa jina la BW ni tete, akiwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahtuti mwananyamala
Hii imekuja baada ya jana kutishiwa kufikishwa mahakamani na kudaiwa fidia ya milioni mia moja kwa kumchafua Kaizer kuwa alikutwa mtaroni

Chanzo chetu cha habari kinazidi kupasha kuwa tifu hilo limesababishwa na BW kumfananisha kijana aliyeshindikana mjini kwa kupiga masanga, TF, aliyekutwa mtaroni na mpiga picha wa gazeti moja pendwa (sio hili)

Inasemekana baad aya kupewa taarifa hiyo ya fidia, BW alianguka chini hivyo kulazimu kukimbizwa hospitali
Ndugu zake wamekataa kata kata kuzungumzia ugonjwa wake wakidai ni 'maadili ya kitabibu'

gazeti hili linaendelea kufuatilia kwa karibu ishu inzima
 
Gazeti letu la udaku limefikiwa na tetesi kuwa Bishanga amemweka ndani Eliza wa tegeta,
tulimtafuta mtu wa karibu na Eliza Tegeta ambapo hilo chanzo lilidai Eliza wa Tegeta ni dume la mbegu.
gazeti letu ilipowatafuta kwenye simu namba zao hazikupatikana hewani.
excellent bana,ujanja wooooote unaingizwa mjini na aspirin? Wivu tu unamsumbua.We muulize fairway kaunta huwa anakunywa na nani?
 
habari zakusikitisha
baada ya kaizer kuzinduka katika usingizi wa pono uliochanganyika na mning'inio
amerukwa na akili na kwasasa anaongea vitu visivyoeleweka pia anachanganya
wageni wanaokwenda kumtembelea,
vyanzo vyetu vya habari vinapasha kwamba hii inatokana na muhusika kunywa pombe iliyochanganyika
na kinyesi pamoja na majivu ya sigara
hadi tunaingia mitambo muhika Kaizeer yupo kwenye gari ya wagonjwa tayari kukimbizwa katika hospital ya vichaa mjini dom akisindikizwa na Ashadii na Mr. Rocky
hapa nipo karibu na asprin ambaye ni ndugu wa karibu wa Kaizer
lakini ameshindwa kuongelea swala hili kutokana na mshangao alionao
nitaendelea kuwajuza hali ya mgonjwa inavyoendelea
 
Bora aisee
Utakuwa umenisaidia sana
naona watu wengi wanadaadisi sana juu ya jinsia ya kongosho...sasa ngoja ntamvizia halafu nimfunue ile nguo yake....!!(sijui ni msuli au shuka lile..!?)...kisha ntakuja kuweka wazi hapa...ngoja tu..!!
 
hahaaaaa nimecheka mpaka mbavu zinauma nyie watu nyie !....haya mauzo ya gazeti yanaanza lini?
 
yabainika:
kumbe Ashadii ni Wema Sepetu.

diamond (bishanga) + wema sepetu (Ashadii),well mmmmhhhh sounds nice!!!!!!!!

Khaaa!! Khaaa!! Khaaa!! :fish:

Yaani sikujua waswahili wanapenda udaku this much!
Shigongo alikua listed kwenye forbes list of rich tanzanians na alimshinda rostam na lowassa kwa utajiri.

Alafu King' weweeee!! :alien:

habari zakusikitisha
baada ya kaizer kuzinduka katika usingizi wa pono uliochanganyika na mning'inio
amerukwa na akili na kwasasa anaongea vitu visivyoeleweka pia anachanganya
wageni wanaokwenda kumtembelea,
vyanzo vyetu vya habari vinapasha kwamba hii inatokana na muhusika kunywa pombe iliyochanganyika
na kinyesi pamoja na majivu ya sigara
hadi tunaingia mitambo muhika Kaizeer yupo kwenye gari ya wagonjwa tayari kukimbizwa katika hospital ya vichaa mjini dom akisindikizwa na Ashadii na Mr. Rocky
hapa nipo karibu na asprin ambaye ni ndugu wa karibu wa Kaizer
lakini ameshindwa kuongelea swala hili kutokana na mshangao alionao
nitaendelea kuwajuza hali ya mgonjwa inavyoendelea

Dah!! :rain:

hahahah...bishanga bana....could it be kwamba kuna watu wanasubiria kama fisi anavosubiria mkono wa binadamu udondoke? watasibiri sana lol
I back sweetie...huu ni UDAKU na upo kwenye UDAKU so utabaki kuwa UDAKU...lol:hug::hug:


Oh Sweetie.... (Kuna speacial treat leo.....:A S-heart-2🙂
 
Tuhuma dhidi ya FaizaFoxy ni za kweli: Yathibitika ndiye anayewapeleka wanasiasa mlingotini

Pichani FF akiwa kazini kumkanda mbunge wa viti maalumu ili kung'arisha nyota na kupunguza upepo wa maadui wa kisiasa
haiti.jpg
 
tangazo maalum:
nahama rasmi uzi huu,narudi zagu nyumbani mmu,Tanmo byeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
It was good as long as it lasted,ciao and gratias amigo!!!!!!!!!!
 
ah mi hoi hapa....
JF ni moto wa kuotea mbali......
Pliz more udaku jamani......
 
habari zakusikitisha
baada ya kaizer kuzinduka katika usingizi wa pono uliochanganyika na mning'inio
amerukwa na akili na kwasasa anaongea vitu visivyoeleweka pia anachanganya
wageni wanaokwenda kumtembelea,
vyanzo vyetu vya habari vinapasha kwamba hii inatokana na muhusika kunywa pombe iliyochanganyika
na kinyesi pamoja na majivu ya sigara
hadi tunaingia mitambo muhika Kaizeer yupo kwenye gari ya wagonjwa tayari kukimbizwa katika hospital ya vichaa mjini dom akisindikizwa na Ashadii na Mr. Rocky
hapa nipo karibu na asprin ambaye ni ndugu wa karibu wa Kaizer
lakini ameshindwa kuongelea swala hili kutokana na mshangao alionao
nitaendelea kuwajuza hali ya mgonjwa inavyoendelea
Hatimaye ukweli wadhihiri........ Blaki Womani ni shombe wa Kisomali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom