Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

kimbweka na funzadume hoi: wapelekwe india!!
yadaiwa walipatwa na mshtuko mkali baada yakukosa access yakuingia jukwaa la kitoto.
paka jimmy ahusishwa ku'hack id zao.
 
Baada ya Mpolee kupasua jipu. Vidume wa Jei efu wahaha kufuta Pii em walizomtumia kwa kuogopa kuumbuliwa. Wengine waingia mitini.!
 
Baada ya Mpolee kupasua jipu. Vidume wa Jei efu wahaha kufuta Pii em walizomtumia kwa kuogopa kuumbuliwa. Wengine waingia mitini.!

hahahaha! Kumbe hadi breaking news zinafaa kwenye hii thread. Lol.
 
-Baada ya kukutana na mauza uza chumbani, Invisible akiri Ban zitammaliza, amwachia kazi PAW uk.6

-Saint Ivuga adai, mwendo kinyume na kawaida unamuumiza, aapa kuacha

-Kitabu cha Katavi sokoni, kina kurasa 2 na mada 50. Wengi wakigombea

- Timbwili la Waberoya: mambo hadharani,agombewa! DA na AD wazipiga

-Sakata la ukatibu kata: Mkandara adai Nyani ngabu anamloga, aonekana Bagamoyo

-Ndoa ya joka kuu matatani, mke adai kutelekezwa usiku. JF lawamani

-Mwanakijiji aula: Kuongoza tume ya kubaini uchawi, yumo Mag3 na Mwita Maranya

-Sakata la madawa UngaLTD: Lizzy mbaroni, wamo Nyumba kubwa na Miss Judith. The Boss kuwapa dhamana

HAPPY NEW YEAR 2012

Ha ha ha haaah!! Kumbe na wewe unaweza? Nilidhani ni gwiji wa kule kwenye siasa tu!
 
Inasemekana kabakabana alimeza mtoto ndio maana anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo. Mawifi na mashemeji waombwa kujiandaa kwa lolote kuanzia sasa.
 
cv ilishachafuka sana. Tukiendelea kung'aa sharubu humu tutapewa skendo mpya ujue.

yagundulika,Husn katoa mimba ya rejao,adai rejao mchovu uwezo wa kutunza mtoto hana,rejao auliza !ulinipendea pua au uwezo?'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom