TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,195
- 13,022
- Thread starter
- #641
Kibarua cha Sulpadoxine matatani..!! Bosi wake adai sulphadoxine ni mgonjwa na ameshatafuta daktar bingwa kutoka milembe..acheka pake yake ofisini..wahisi ni kichaa!! Amepatwa na nini....soma zaidi ukurasa wa 119..
The finest na bujibuji waumizana vibaya baada ya kutokea mabishano kuwa Avatar ya katavi ndio sura yake halisi,The finest aingia mitini baada ya kuzidiwa nguvu.Katavi aja juu apanga kwenda mahakamni kuwashitaki wote wawli,habari kamili ukurasa wa 1115.
Hizo kurasa sizipatii picha..!
halafu ni gazeti la kila siku, lol