Gazeti letu la Udaku JF..

Excellent aanda party kubwa ya kuzaliwa mpenziwe Kabakana, Kabakana atinga ndani ya party hiyo na mpenzi wake mwingine wa kizungu.
party yageuka uwanja wa mapambano
FFU waingilia kati, mzungu atoweka kusikojulikana
Huyo mzungu alikuwa ananipa kampani tu
 
King'asti amburuza mahakamani TanMo kwa kosa la kumchafulia jina
Adai faini ya $$ trillion 3, ama sivyo afanye kazi ya kumsomea PM zake kwa mwaka mzima

huku akionekana kabisa bado yupo Hi kwa msuba wa mpitimbi, king'asti alijikuta anaingia matatani zaidi kwa kuporomosha matusi makali kwa kiongozi wa kanisa la mtakatifu bakari Mch. Masa.... mama mchungaji AshaD ameomba majirani, ndugu, jamaa na marafiki wajumuike katika mafungo na maombi maalum ili pepo mbaya wa ganja ampishe King'asti. Inasemekana King'asti kwa sasa amekua akitumia mda mwingi sana kuzungumza na kiganja chake kwa athari kubwa za msuba ambao huupata kutoka kwa kachala mmoja wa pande za mabwe pande
 
boss atishia kumpa talaka kongosho,anywea kimyaaa lol

Kongosho aapa kulipa kisasi cha ki-alshabab, aapa kumuogesha The Boss maji ya pilipili na chai ya chumvi lasivyo afute usemi wa anatoa talaka

Imetambulika kuwa Mzee Mwana Kijiji ni Mcameron.

JF Radio mbao yafunguliwa rasmi..masupastaa kibao wa jf wamiminika kuomba kazi..wamo the finest,klorokwini,firstlady,kongosho na rejao..wadai wataka wajisafishe na watoa onyo wakipata kazi waliowachafua kwa skendo chafu wote wakae chonjo..

FaizaFoxy ajutia uamuzi wa kupokea pesa za mafisadi: asema shetani alipita jirani yao na kumshawishi, aahidi kuwa makini zaidi

RUSHWA YA NGONO JF: ni roulette na kongosho,yadaiwa ndo sababu ya kongosho kupewa studio no 3 ndan ya jf redio udaku...

Hapatoshi kati ya The Boss na kongosho: kisa? Yabainika The Boss anapenda sana wadada wenye makalio kutoka china wakati kongosho ni kimbau mbau!,..


Kongosho ajiapiza kwenda kufuatilia dawa za kuongeza makalio.

Kongosho afumaniwa na mme wa mtu ndani ya hoteli moja maarufi dar es salaam

SAKATA LA RUSHWA YA NGONO: meseji za simu za kimapenzi zanaswa,ni kutoka kwa roulette kwenda kwa kongosho...roulette alipohojiwa ampiga mkwara mwandishi..

Excellent aanda party kubwa ya kuzaliwa mpenziwe Kabakana, Kabakana atinga ndani ya party hiyo na mpenzi wake mwingine wa kizungu.
party yageuka uwanja wa mapambano
FFU waingilia kati, mzungu atoweka kusikojulikana
:lol::lol::lol:
 
Klorokwini achezea kichapo toka kwa uporoto, ni baada ya kufumaniwa Namnani gesti hausi akiwa na Husninyo....


The Finest akiri kumtongoza kongosho, ni baada ya kubanwa vilivyo na The Boss...

khaaaaa! Swtlady abambwa kwa mganga akitolewa mapepo. Anadai jf wanamchawia tangu mwaka 1961 hajapata mchumba hadi leo.
 
Ukimaliza kusoma posts zote ktk thread hii bila kuchekeshwa na hata post mojawapo....ujue mwaka huu unaumaliza vibaya.
 
khaaaaa! Swtlady abambwa kwa mganga akitolewa mapepo. Anadai jf wanamchawia tangu mwaka 1961 hajapata mchumba hadi leo.
Hahaha! Swahiba!!!! Umesahau kwa mganga nilimsindikiza ma mkwe wako King'asti?.
 
Varangati nyumbani kwa husninyo, yadaiwa ni sababu ya masharti magumu ya mama mkwe wake kingasti...asema hawez kupangiwa siku za kula tunda kwa mumewe na mamamkwe...mamamkwe(kingasti) mwenyewe adai mwanaume ni mwanaye na anahaki ya kumpangia atakacho..husninyo amng'ata mapajan mkwewe huyo..mume mtu aingia mitini kukwepa soo..
 
Ayawi ayawi yamekuwa TANMO apata kazi kwenye gazeti la Risasi,kuwa muhariri mkuu.Paw ajaa juu baada ya kusikia taarifa hizo,habari zaidi ukurasa wa 6.

Sulphadoxine abambwa Gesti na mwanafunzi wa darasa la sita, mwenyewe ajitetea alikuwa anamfundisha Hesabu
 
Rejao na Smile kwenye penzi zito: sms zao zadakwa na Gazeti letu

yasemekana ni baada ya kupigwa chini na the finest aliekuwa mpenz wake ambaye alichukua uamuzi huo baada ya fumanizi la aina yake kati ya smile na bujibuji...watu wahoji rejao atamuweza smile..?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…