sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Kongosho aonekana mitaa ya mahakama ya Kisutu, ahojiwa , adai anataka kufungua kesi ya madai ya LIKE.. kutoka kwa JF members..Nagonga like hapa
Afu nyie hamnigongei like?
Kongosho aonekana mitaa ya mahakama ya Kisutu, ahojiwa , adai anataka kufungua kesi ya madai ya LIKE.. kutoka kwa JF members..Nagonga like hapa
Afu nyie hamnigongei like?
..Nani anaekuudhi jamani Mamiii, hebu wasemelee kwangu Niwatandike viboko.
Afrodenzi, Kivumah kulikoni..!!?? waonekana pamoja maeneo ya chooni katika kilabu maarufu Uwanja wa fisi..Afadhali hata nimekuona Kivumah, ukipata muda naomba uongee kwa herufi kubwaa.
The Finest na Lizzy wamezidi sana wakiwa pamoja..
View attachment 42924
Sijui nini aanguka na kuvunjika mgongo wakati akimpiga chabo dada wa watu akifua nguo
Hi zambi aise siwezi ifanya.....Rev.masanilo na Rejao wafumwa kalabash wakila kitimoto na ugali.
Lile sakata la ReV. masanilo na Rejao kufumwa kalabash wakila kitimoto sasa lachukua sura mpya...! Rejao aja juu na kukana madai hayo..adai ni chuki binafsi...aapa kwenda kwa sangoma kumtoa Sulphadoxine mshipa...Hi zambi aise siwezi ifanya.....
lol...:lol: kweli jamiiforums ina waandishi wengi wa magazeti ya Udaku!!!!Lile sakata la ReV. masanilo na Rejao kufumwa kalabash wakila kitimoto sasa lachukua sura mpya...! Rejao aja juu na kukana madai hayo..adai ni chuki binafsi...aapa kwenda kwa sangoma kumtoa Sulphadoxine mshipa...
hjahahahahahahahaha.....JF wafanya sherehe ya kutambuana, wote wanuniana ukumbini kwa kudanganyana, yabainika asilimia tisini na ne (94) ni midume.
Waondoka ukumbini kabla hata ya speech ya kukaribishwa kuanza.
Ngoja nilale tu..naona nikiendelea kusoma comments za hii thread kesho nitachelewa kibaruani,
Asili ya jina la YoYo yajulikana..!!hjahahahahahahahaha.....
hahahahahahahaha lols...kuna macomedian humu balaa.....Baada ya kuvuliwa Baibui na afisaa wa usalama AshaDii agundulika kua Mvulana wa chuo cha UDOM...
njoo chemba nikuambie kitu tupange kuhusu haya mapumziko ya kesho mjengoniHi zambi aise siwezi ifanya.....
lol...:lol: kweli jamiiforums ina waandishi wengi wa magazeti ya Udaku!!!!
Tuachane na hawa waandishi uchwara wa udaku JF...ngoja nikupigie tulonge freshnjoo chemba nikuambie kitu tupange kuhusu haya mapumziko ya kesho mjengoni
Kashfa ya rejao na Rev.masanilo yachukua sura mpya baada ya kufumwa kalabash wakila kitimoto na ugali,wafumwa tena kwenye vikao vya siri dhidi yao na julias mtatiro wa cuf,Rejao ashangaa kufuatiliwa kupita kiasi,apanga kwenda mahakamani kumshtaki Tanmo kwa kuazisha gazeti la udaku.
Tuachane na hawa waandishi uchwara wa udaku JF...ngoja nikupigie tulonge fresh