Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Hahahahaha.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Klorokwini, yule lawyer maarufu wa JF amekamatwa kwa kosa la kuuza kesi za JF. MalariaSugu alikua tayari kukiri kwamba Klorokwini ndie haswa aliefanikisha ban lake la maisha kufutwa. Alipopatikana kwenye line alisema "hatujui, hatumjui hivyo tuachane nae."

Lizzy apoteza fahamu na kukimbizwa muhimbili baada ya kudanganywa na mzizimkavu kuwa sabuni ya kufulia ukiichanganya na ukwaju ni dawa ya kupunguza unene. Tukipata habari zaidi tutakupatieni
 
Hahahahahaha

Baada ya uchunguzi wa kutosha JF Udaku yagundua kwamba Boss sio bontauni. Mwenye akanusha madai na kudai japo alizaliwa Magadini bado nae ni mjanja maana alianza kuvaa boxa na singilendi miaka ya themanini.
Na alipo ulizwa kwa nini anapenda boxa za rangi rangi alijibu kua zinaonesha mood yake ilivo, huku akionesha boxa yenye mkanda wenye maandishi ya "kibwisa pimpa" na kuitaja kama favorite yake.
 
Mkakati wa Lizzy na Klorokwin wafichuka,
wapanga mkakati kamambe wa kuyatanua mapafu ya AshaDii kabla ya mwaka mpya.

Inasemekana AshaDii anawadai kodi ya nyumba ya miaka miwili

I am Literally crying kwa FURAHA ya kicheko... Hakyanani vilee.... THANKS GUYS.... Dah! This thread imenipa furaha that will last for a Week if not a Mount!! Dah!!

Lizzy... Klorokwini dawa yenu yachemka.... lol
 
Mkakati wa Lizzy na Klorokwin wafichuka,
wapanga mkakati kamambe wa kuyatanua mapafu ya AshaDii kabla ya mwaka mpya.

Inasemekana AshaDii anawadai kodi ya nyumba ya miaka miwili

Ile tabia ya uswahilini kuibiana nguo zilizoanikwa bado haijakoma, selebriti wetu wa JF Kongosho huku akibubujikwa na machozi alililalamikia gazeti letu la udaku JF kwamba jirani yake ambae pia ni member wa JF (jina tunalo), amefanikiwa kumuibia makufuli mawili na mabrazia manne ya oversize, skendo hii ilitokea wakati kongosho akiwa ndani anazisubiria nguo hizo zikauke ili awahi kuonana na fidel80 maeneo ya tip top
 
Mkakati wa Lizzy na Klorokwin wafichuka,
wapanga mkakati kamambe wa kuyatanua mapafu ya AshaDii kabla ya mwaka mpya.

Inasemekana AshaDii anawadai kodi ya nyumba ya miaka miwili


Kongosho hatimae kutoa hio siri na kumfanya AshaDii aongeze kodi na gharama za kutibiwa mapafu India juu ya hio Kodi!
 
He he he duh

Klorokwin azua timbwili mahakama ya jf
ni baada ya mod kutomtambua kama loya
kumbe vyeti vyake ni feki
alihitimu la saba ila anamiliki vyeti vya profesa

Ile tabia ya uswahilini kuibiana nguo zilizoanikwa bado haijakoma, selebriti wetu wa JF Kongosho huku akibubujikwa na machozi alililalamikia gazeti letu la udaku JF kwamba jirani yake ambae pia ni member wa JF (jina tunalo), amefanikiwa kumuibia makufuli mawili na mabrazia manne ya oversize, skendo hii ilitokea wakati kongosho akiwa ndani anazisubiria nguo hizo zikauke ili awahi kuonana na fidel80 maeneo ya tip top
 
He he he duh

Klorokwin azua timbwili mahakama ya jf
ni baada ya mod kutomtambua kama loya
kumbe vyeti vyake ni feki
alihitimu la saba ila anamiliki vyeti vya profesa
Khaaaa! huu udaku utaharibu CV sasa. Dah!
 
You guys are cracking me up.. . .
Ngoja niwape cha mwisho kabla sijalala.

Juzi kati gazeti lenu pendwa lilihudhuria sherehe ya RR kutunukiwa uMOD. Kila aliyekuwepo alionyesha kufurahishwa na kitendo kile ila walipoongea na mwandishi wetu chobingo walikiri kutokufurahishwa hata chembe. Kongosha alinukuliwa akisema kwamba hawezi kukubaliana na RR kupandishwa cheo wakati yeye ndie mpenzi wa Invisible. Hakuishi hapo bali aliendelea na kusema "Dawa yake inachemka, babu yangu anamtengenezea dawa ya ukoma ashindwe kutype." Ashadii nae hakua nyuma alipotutaarifu kwamba yeye alikua na mpango wa kumsabotage RR, japo hakuwa wazi ni kwa namna gani,alisema tusubiri kuona. Mpiga picha wetu alipozoom kamera yake mida ya saa nne nne alishuhudia Klorokwini akimchombeza RR kwa mbwembwe huku akitamba kwamba lazima aendoke na password ya JF acc.
 
Lizzy apoteza fahamu na kukimbizwa muhimbili baada ya kudanganywa na mzizimkavu kuwa sabuni ya kufulia ukiichanganya na ukwaju ni dawa ya kupunguza unene. Tukipata habari zaidi tutakupatieni
klorokwini sio tena Dawa ya kutibu Malaria Sugu hhahhahah klorokwini imeshapitwa na wakati
 
Amini usiamini! The Boss Aukata
  • Denzel Washington akiri ni mwanae,
  • Alikutana na mzazi mwenzia kampala akicheza Mississipi masala
  • Amnunulilia the boss "mjengo" wa nguvu ndege beach
  • Kuja kumsalimia na kufahamiana naye Dec 9 2011
Mafisadi wa elimu waanikwa: Ni Mupirocin, Russian Roullette, mzizi mkavu na dr. Riwa
  • Wawili wagundulika kupata ziro form 4
  • mmoja alikuwa msaidizi wa dokta ndodi
  • Mmoja akiri kutumia vyeti vya kufoji
Kizimkazimkuu akamatwa na The Boss mjini kariakoo akimtapeli Tajiri mmoja wa kihindi hapo mjini afikishwa kituo cha polisi habari zaidi nitawajuulisha baadae.....
 
aisee nimewagundua employee wa the Global Publisher hapa; ni tamno, smile, kizimkazimkuu, sijui jibu na sniper.

Imenichukua masaa 3 na nusu na robo liter ya machozi (ya kicheko) kusoma page 20 za vutuko!

Bravo Tanmo!
 
Fynest ajichekesha.Ajaribu kumseduce mwandishi wetu ili aweke skendeli lake la wizi kapuni.

The Finest abambwa ndani ya kibajaj......kumbe ile vogue sio yake lol

The Finest akana uvumi ulozagaa kuwa yeye ndiye sharobaro wa jf
asema wanaomuahiribia ni wenye majina yanayoanza na The ...

The Finest apandishwa kizimbani kwa kosa la kujisaidia kwenye gari la manispaa, akijitetea mahakamani amesema hiyo ni aina mpya ya maandamano ambayo ameianzisha ili serikali iangalie upya suala la mgao wa umeme.
:lol::lol::lol::lol:.......Nyie watu hamna adabu kabisa hakyanani...lol..hahahaha
 
Wee mwana wewe, tunaandika vichwa vya habari tu, si habari kamimi

naku-sue kwa derformation afu kwa kuandika habari yote kwenye kichwa habari

You guys are cracking me up.. . .
Ngoja niwape cha mwisho kabla sijalala.

Juzi kati gazeti lenu pendwa lilihudhuria sherehe ya RR kutunukiwa uMOD. Kila aliyekuwepo alionyesha kufurahishwa na kitendo kile ila walipoongea na mwandishi wetu chobingo walikiri kutokufurahishwa hata chembe. Kongosha alinukuliwa akisema kwamba hawezi kukubaliana na RR kupandishwa cheo wakati yeye ndie mpenzi wa Invisible. Hakuishi hapo bali aliendelea na kusema "Dawa yake inachemka, babu yangu anamtengenezea dawa ya ukoma ashindwe kutype." Ashadii nae hakua nyuma alipotutaarifu kwamba yeye alikua na mpango wa kumsabotage RR, japo hakuwa wazi ni kwa namna gani,alisema tusubiri kuona. Mpiga picha wetu alipozoom kamera yake mida ya saa nne nne alishuhudia Klorokwini akimchombeza RR kwa mbwembwe huku akitamba kwamba lazima aendoke na password ya JF acc.
 
Inkoskaaz: Mimi ni fani ndani ya fani

Wiki hii gazeti la udaku lilipata wasaa wa kulonga na memba machachari na mkali wa kucheza densi kutunga mashairi, kucheza karate, kuuza matrekta, kuranda mbao za vitanda, kutengeneza batiki, kupanga ranngi ngalawa na kusuka ukili amefunguka na kuelezea changamoto anazopata hasa kwenye paenzi na kuelezea tabu anazopata hasa kila anapomkumbuka mpenzi wake wa siku nyingi maria roza na sintofahamu yake juu ya maamuzi magumu ya michelle kukimbilia nansio na mganga wa kienyeji
Pichani chini: Inkoskaazi katika pozi la kawaida
mopao.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom