Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

FF avunja ukimya asema kula kiti moto ni suna kama haikudhuru peleka puani asema mbona pemba inaenda??na wote karibu ni waislamu??aeleza ndo maana mwezi mtukufu wa Ramadan ndo maana kiti moto udoda na mabaa kukaukiwa na watu na guest kukuta vibao vikisema vyumba vipo hadi saa6 usiku! hivyo ni jinsi gani waislamu wanahusika na zoezi hili na kwa maana hiyo ikifika Idd vitu alivyo vitaja huwa adimu mpaka baada ya wiki!!..............mwisho wakunukuu!!

mmmmhhh una lako jambo aisee muislamu huyo kumbe ndio zake :confused3:
 
Tuachane na hawa waandishi uchwara wa udaku JF...ngoja nikupigie tulonge fresh
Rejao kummwaga Lizzy..!!?? Afumwa na mwandishi wa JK udaku manzese vichochoroni karibu na gest akiwa na Smile majira ya saa tatu usiku..wakana kuwa na uhusiano wadai walikuwa kwenye kikao..watu wahoji ofisi gani zipo manzese vichochoroni tena saa tatu usiku..!!?
 
Rejao :kuwa mwenyekiti mpya wa jukwaa la katiba ni baada ya deus kibamba kuchemka,TUCTA wamuunga mkono.
 
Bujibuji atafutwa na polisi..atelekeza nyumba na gari na kutimua mbio..gari lakutwa na bidhaa haramu..

IMG_2281.jpg
yadaiwa kukimbilia kuomba hifadhi Tanga kwa Faiza Foxy..
 
Gazeti lenu la JF udaaku mlipendalo leo liko mtaani na habari motomoto.......

Klorokwin akamatwa akipiga chabo watu wakibanjua amri ya sita ajitetea asema ni moja ya staili zake za kupandisha mzuka akirudi kwa mke wake....

Asprin akamatwa juu paa la mwenye nyumba wake akiwanga mchana kweupe yeye asema alikuwa akiangalia kama mabati ni chapa Simba....

Fidel akamatwa akiwa uchi huku akiwa ameshikilia Jogoo asinginzia Joto ndio lilimfanya avue nguo...

Kongosho akamatwa akimbemenda Bujibuji

Yagundulika pedesheee aliyekuwa akimuweka mjini Husninyo ni Mwanakijiji, awakimbia waandishi wa habari na kuacha visigino vyake..

Lizzy ashikiliwa na polisi kwa kuiba pedo kwenye duka AfroDenzi

TANMO azua kizazaa msikitini baada ya simu yake kutoa mlio ambao haukutegemewa

file...UARABUNIUNANYONGWA.....jpg



Siri zaidi zafichuka kuhusu mlio wa simu ya TANMO,nibebe nibebe,nibembeleze nibebe yesu weeeee nibebebe,hii ndio nyimbo iliyokuwa inaimba kwenye simu yake,shekhe ajaa juu.
 
Mwandishi na muasisi wa gazeti la JF udaku TANMO hatarini! Watu wamwendea kwa mganga kuzima nyota yake ya gazeti...wamo afrodenzi,the finest,kongosho na klorokwini...Mzee mwanakijiji aonekana duka la silaha..adai kuna mtu anamchafua na anataka kummaliza kwa risasi...TANMO mwenyewd yasemekana kajichimbia kwa kimada wake faiza foxy kujificha..faiza mwenyewe akana hamjui mtu huyo...

Baada ya faiza kukana tuhuma hizo afumwa nyumbani kwa mwanakijiji,TANMO aja juu ataka kwenda kortini kumshitaki mwanakijiji.
 
Ayawi ayawi yamekuwa TANMO apata kazi kwenye gazeti la Risasi,kuwa muhariri mkuu.Paw ajaa juu baada ya kusikia taarifa hizo,habari zaidi ukurasa wa 6.
 
Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.

Siri zaidi zafichuka kuhusu wigi la afrodenzi,aliliazima kwa lizzy,yeyebmwenyewe akataa kumzungumzia sakata hilo akwepa kamera aingia mitini.
 
inasemekana sulphurdioxide ni mpika majungu dar nzima wanamjua.

Katika hali ya kutatanisha Husniyo akutwa Bills akicheza na Rejao,mnyetishaji wa habari hii apigwa na kuumizwa vibaya,baada ya kuwapiga picha,Rejao aja juu.
 
Afrodenzi afumaniwa akipiga chabo kwenye chumba cha Rev.masanilo.

duhhhhhhhh chabo tena

Wigi la afrodenzi ladondoka. Watu wote wapigwa na mshangao baada ya kumuona ana bonge la kipara na kichogo cha nguvu.

hahahahahaahah
naona umenianzia ..

Breaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..

0058.gif
 
duhhhhhhhh chabo tena



hahahahahaahah
naona umenianzia ..

Breaking news Husninyo adokeza anataka kuweka avatar ya sura yake kabisa . Husninyo alipiga picha hii dakika 30 zilizopita.. na mpiga picha wenu Da mie..

0058.gif
Ahahahaaah!! Mbavu zangu jamani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom