MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
- Thread starter
- #21
Mkuu;This is very true, not only CCM will retain a firm grip on power, but for a long time to come, in facts, CCM Itatawala Milele, anayebisha abishe tuu for the sake of kubisha, unless ni kwa msaada wa watu wa Marekani!.
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
Pascal Mayalla unasema wapinzani hawawezi kuingia Ikulu milele bila msaada wa watu wa Marekani?
Kumbuka Mwl. Nyerere alisema, wapinzani wa kweli watatoka CCM na kwa maana hii, CCM itaondolewa madarakani kwa msaada wa wanaCCM na sio watu wa Marekani pekee!