Prof. Ndulu yuko sahihi!
Watu hawapendi kuambiwa ukweli.
Prof. Ndulu yuko sahihi!
Umewagundua watanzania, huo ndiyo ukweli, mimi binafsi nimeipenda prof alivyoeleza ukweli usio na chembe ya unafiki.Watu hawapendi kuambiwa ukweli.
Gavana yupo sahihi. Tuache siasa kwenye mambo ya kitaalamu.
Mkuu wengi hawajui na hawana elimu ya kodi. Hawataki kuuliza wanaingia kichwa kichwa tu kujadili kitu wasichokijua. Hakuna mtu anayeweza kujua kila kitu. Lakini hapa JF kuna watu wanataka kila uzi wachangie hata kwa mambo wasiyoyajua. Tujifunze na kuuliza kwa wanaojua, humu JF wapo wataalamu pia wa mambo yanayohusu kodi. Tusome comment zao tuelimike.
Prof. huyu ni JIPU toka kitambo!! Escrow, EPA, Richmond, Hati fungani STANBANK, Tshs imetoka US $1=Tshs 1000 (2005) to US $1=Tshs2280 (2015) chini yake-hela haina thamani kabisaa, Money Laundering chini ya utawala wake- tatizo lipo juu sana, nk na sasa VAT zote chini ya utawala wake! Lengo lake ni kuhakikisha Rais anafeli!! Huwa yuko Against na President na kila kitu.
Ana dharau sn kwa Rais. Angalia agizo la Rais kuhusu wafanyakazi hewa, wasio na sifa na mrundikano wa wafanyakazi BoT (karibia 2800 wakati wana wana matawi 4 tu nchi nzima) na response yake kesho yake!! Always negative against the President!! "Kama wana sifa kwa nn wasiajiriwe? Hapa BoT hatuna mfanyakazi hewa"
Anne Kilango alikosea moja tu akatemwa, huyu ana makosa lukuki tena yote yaliyo ligharimu TAIFA. MAGUFULI tumbua huyu katumwa kukukwamisha!!!
Mabenki yanaweza kufanya jambo dogo tu. Kuondoa service charges zote kwenye miamala na kuongeza 1% kwenye riba ya mikopo. Kwisha. Hiyo itakuwa tax avoidance, sio evasion
Kwani wewe sio mtanzania?Tz kila kitu kinawezekanaSiamini habari hii..
Haya,TRA wamebadili gia angani,wamegundua Ndulu alikuwa sahihiSiku za Ndulu ofisini zinahesabika. Ni swala la muda tu
Bado mlipaji ni mlaji. Mabenki ni mawakala tu. Ni kweli hapatakiwi kuwa na makato mapya lakini kama hapo awali walikuwa hawalipi vat sasa watalipa na hivyo kupunguza hapo kwa kiasi kidogo faida yao.Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Kwani ukilipa ada za shule za watoto kwa kuingiza pesa kwenye account ya shule unalipia huo maumala?Sasa ads za shule za watoto wetu tutalipaje?
Atokeje wakati ana msada kwa setokali ya chama chake cha CCM katika suala zima la ukusanyaji wa kodi ya serikali?Huyu gavana hana msaada wowote nchini..ndio maana BOT ina mauzauza kibao..atoke tu hizi nyakati zimemzidi uwezo.
huyu ndiyo katumia uprofesa wake vyema
Ndio. Wazazi huwa tunalipia hiyo miamala.Kwani ukilipa ada za shule za watoto kwa kuingiza pesa kwenye account ya shule unalipia huo maumala?
Kwani ukilipa ada za shule za watoto kwa kuingiza pesa kwenye account ya shule unalipia huo maumala?