Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

NI HATARI SANA KAMA HUJUI KWAMBA HUJUI, HUNA LA KUJIFUNZA....AT LEAST LET ME SAY WHAT I KNOW
NIJUAVYO MIMI BANK ZINAPASWA KULIPA CORPORATE TAXES, NA EMPLOYEE WAKE WANALIPA PAYE HIZO NDIYO MAIN ISSUE, VINGINEVYO WAKIINGIZA VAT INAMHUSU MLAJI WA MWISHO, YANI MLIPA KODI AMBAYE NI MWANANCHI. SASA KINACHONISHANGAZA NI KUONA BENKI ZINATAKA KUKATWA KODI WAKATI HATA TAXABLE INCOME HAIJAWA IDENTIFIED FROM FINANCIAL STATEMENTS. ANYWAY, WANAOFANYA KAZI MABENKI WATUSAIDIE. BUT FROM WHAT I KNOW, WAKIWEKA VILE BANK IS AGENCY FOR COLLECTION, NOT TAXPAYER
 
Baada ya kupitia maoni ya wajuvi wa mambo humu kuhusu mambo ya kodi,nimejiridhisha kuwa Dr mpango ni very hopelless
.

JPM awe makini sana na wizara ya fedha,tunaweza pata anguko LA kihistoria katika uchumi.
 
Mkuu me mwenyewe sijawai hata kusoma hayo masomo siju accounts..sijui bookkeeping...sijui commerce ila nimemuelewa vzuri Kabisa....Na nilishabishana sana Na watu kuhusu hii kitu kuwa mzigo utakuwa kwa mlaji wa Mwisho ila baadhi ya watu hawaelewi Kabisa mkuu...ni ishu ndogo sana ila kama ulivosema kama mtu alienda shule kimkumbo hawezi kuelewa Kabisa alichosema Gavana..

Watanzania vitu kama hivi hatuwezi kuvifahamu watu wataleta ushabiki wa vyama vijana walio wengi wanajua wema na shilole lakini wachache sana wanaoweza kuelewa prof kazungumzia kitu gani watu ata VAT ajui maana yake
 
Ndulu yupo sahihi nimesikitika kuona TRA hawajui maana ya VAT...serikali iitoe hii VAT inatuumiza sisi walaji na Vat inalipwa na mlaji wao TRA wanapendekeza VAT mpaka ktk Transit goods...
 
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee

Prof yuko sahihi VAT inalipwa na mtumiaji na kukusanywa na muuzaji full stop mengine siasa tupu.
 
Sijamuona Lizaboni....simiyu yetu sijui kwenye hii thread...sio level yao au...???
 
Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Prof. Ndulu yupo sahihi kabisa. Mabank watabakia kuwa mawakala wa TRA katika kukusanya kodi hiyo mpya iliyoanza kukatwa na TRA labda kama serikali itasitisha.
 
hopless bunge, hopeless, burget, i don't hav hope anymore. its shame to tz. siijui kaz ya mbunge wangu. badala ya kuchallenge gvt ana suppot. nakosa tumaini.
 
Value-Added Tax (VAT) is a tax on consumer spending. It is collected by VAT-registered traders on their supplies of goods and services effected within the State, for consideration, to their customers.kwishaaaa!!!!
 
Prof. huyu ni JIPU toka kitambo!! Escrow, EPA, Richmond, Hati fungani STANBANK, Tshs imetoka US $1=Tshs 1000 (2005) to US $1=Tshs2280 (2015) chini yake-hela haina thamani kabisaa, Money Laundering chini ya utawala wake- tatizo lipo juu sana, nk na sasa VAT zote chini ya utawala wake! Lengo lake ni kuhakikisha Rais anafeli!! Huwa yuko Against na President na kila kitu.

Ana dharau sn kwa Rais. Angalia agizo la Rais kuhusu wafanyakazi hewa, wasio na sifa na mrundikano wa wafanyakazi BoT (karibia 2800 wakati wana wana matawi 4 tu nchi nzima) na response yake kesho yake!! Always negative against the President!! "Kama wana sifa kwa nn wasiajiriwe? Hapa BoT hatuna mfanyakazi hewa"

Anne Kilango alikosea moja tu akatemwa, huyu ana makosa lukuki tena yote yaliyo ligharimu TAIFA. MAGUFULI tumbua huyu katumwa kukukwamisha!!!
 
Zamani walikuwa hawatozwi na walikuwa wanatukata.. Basi wangeacha kukata.. Au wanataka walipe na zile zote za nyum?
Sheria zamani ilikuwa haisemi wakate VAT. Kwa hiyo bank iliset bei zake tu kutokana na jinsi inavyoona inafaa. Hapo hakuna kosa, na sasa serikali imetangaza kuanza kukata VAT katika gharama hizo hizo bank ilizojiwekea kabla. Tatizo hakuna hapo sema watu wanapenda kufanya siasa kwenye mambo ya weledi.
 
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi . Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
nadhani mnachanganya mambo. lengo la serikali ni kumpunguzia mzigo mlaji yaani consumer. kwa maana nyingine tozo za huduma ile 18% zinatakiwa zipunguzwe na iwe ndio consumption tax badala yake. kama tozo ya huduma ilikuwa sh.2000. mteja sasa anatakiwa kutozwa 1640. na ile 360 iwe consumption tax. kiufupi gharama imepunguzwa kwa mlaji. mabenki income yao nayo imepungua.nadhani Gavana ameteleza., its just a slip of the tongue.
 
Soon tutapata ufafanuzi kutoka BOT na hii hoja inayotaka kuwa ya ki-Ukawa itaisha.....halafu wapotoshaji watashughulikiwa vilivyo...TUTAELEWANA TU
 
Labda hao TRA uchwra watueleze kuwa walipoweka neno VAT hawakujua maana yake? Pili watueleze kuwa hiyo kodi waliyoongeza kwa tafsiri yao wanamega ile income tax watakayolipwa wakati wa majumuisho mwisho wa mwaka?

Kama wanategemea mawakala wao ndiyo walipe basi labda waitoe hewani! Siasa za hovyo hovyo!
 
Back
Top Bottom