Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

kitendo cha ile kodi kuiita VAT,Basi mzigo unaenda moja kwa moja kwa mlaji.Labda ibadilishwe jina na isiwe VAT.Profesa yuko sahihi.TATIZO HII NCHI KWA SASA MAAMUZI YA TULIOWAPA DHAMANA YANATOLEWA KWA HOFU YA KUTUMBULIWA.
Kwani kuna kodi isiyoenda kwa mlaji???????
 
Itatuchukua muda kuweza kuona mambo katika uhalisia wake.
 
Watanzania vitu kama hivi hatuwezi kuvifahamu watu wataleta ushabiki wa vyama vijana walio wengi wanajua wema na shilole lakini wachache sana wanaoweza kuelewa prof kazungumzia kitu gani watu ata VAT ajui maana yake
Mi ningekuwa commissioner ninge jiuzulu leo hii hii
 
Utaamini tu! Utake usitake na wakati ukiendelea kujitafakari uamini au uwendele kutoa amini, kuanzia tarehe 1/7/2016, VAT unakatwa kama kawaida hata kama hutaki.
Kukatwa mimi sioni tatizo hila kusema Ndulu kaongea ndio nakataa!
 
Soon tutapata ufafanuzi kutoka BOT na hii hoja inayotaka kuwa ya ki-Ukawa itaisha.....halafu wapotoshaji watashughulikiwa vilivyo...TUTAELEWANA TU
Mpaka watakapo waita UKAWA kuwasaidia kufikiri
 
Zamani walikuwa hawatozwi na walikuwa wanatukata.. Basi wangeacha kukata.. Au wanataka walipe na zile zote za nyum?
Zamani walikuwa wanalipa mkuu but Ilikuwa Kama sehemu ya faida so Ilikuwa inalipwa Kwenye income tax na ukumbuke huko nyuma hii sheria Ilikuwa bado haijatungwa
 
It is very true.

Anachosema Profesa Ndulu ndiyo ukweli wenyewe, it is obvious VAT inalipwa na mlaji, kwa maana ya mteja.

Kwa kuwa kama vile :vichwa 'vya wabunge wa Ukawa wangekuwepo Bungeni, huu' upuuzi 'wa VAT kwenye miamala ya mabenki na kwenye makampuni ya simu kamwe isingepita.

Lakini ndiyo hivyo tena.. kuwa wabunge waliobaki Bungeni ndiyo wale wanaounga mkono kwa asilimia 100 kwa chochote kinacholetwa ....

Usiwasemee wabunge wa upinzani kwa kuwa walisusia kuwawakilisha wananchi kwa sababu "Ubinafsi" uliwatawala zaidi kuliko uaminifu wetu sisi tuliowapa tikiti ta kuingia mjengoni.

Swala la utata wa BOT na TRA kuhusu VAT, kwenye miamala ya simu na benki, tunalichangia kwa ushabiki wa mitazamo ya kisiasa, kichama, kuliko "jinsi inavyogusa" shughuli za kibenki na wateja wake.

Naamini Gavana wa BOT na Mkurugenzi Mkuu wa TRA, kama Watanzania, watatumia taaluma zao kisahihi kutafsiri hiyo VAT kwa usahihi.
 
Mabenki yanaweza kufanya jambo dogo tu. Kuondoa service charges zote kwenye miamala na kuongeza 1% kwenye riba ya mikopo. Kwisha. Hiyo itakuwa tax avoidance, sio evasion
 
Huyu prof anajua yupo kipindi ch JK nini?
Bro wa sasa hachelewi kuchapisha note mpya
kabla hujacomment shirikisha ubongo kwanza: VAT, is a tax added to the price of goods or services. Sasa hapo nani kakurupuka kama sio hao TRA na serikali kwa ujumla. hii kitu watarumbana lakini mwisho wa siku wakuumia ni sisi walaji wa mwisho.
 
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi.

Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
Sasa wewe ulitaka iweje wakati kila mtu anajua kuwa katika wabunge wote wa CCM waliomo Bungeni na wizarani, CCM wamebahatika kupata Mbunge mmoja tu ambaye ni Hussein Bashe.
 
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi.

Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
VAT "is a tax added to the price of goods or services"...wakati nasoma soma niliambiwa kuwa this is short and clear defination of VALUE ADDED TAX. Sasa sijui hao wanaotuaminisha kuwa VAT italipwa na mabenk na makampuni ya simu watueleze pia hizo benk au kampuni za simu zitakuwa zinanunua huduma au bidhaa gani kwetu hadi watakiwe kulipa VAT
 
Mhe. Rais angemteua Kimei wa Crdb kuwa gavana nchi ingepaa kama alivyoipaisha Crdb
 
Suala la Sukari Serikali ilichemka kabisa, ilipojaribu kujitakasa kwamba itaagiza sukari ili kufidia pengo ikachemka tena...(Nani atawauzia sukari wakati hao wauzaji wana mawakala wao na wanaheshimu hiyo mipaka) 'hivyo ikalazimikia kuwaomba jamaa' waagize sukari ila ionekane imeagizwa na serikali.
Hili VAT linaonyesha dhahiri kuwa serikali imechemka, na bahati mbaya katika hili hawana pa kujifichia ili kuficha udhaifu huo, zaidi ya kwenda Public na kukiri kuwa walikosea kuyaita makato yale kuwa na VAT. My God, hata huyo kamishna wa TRA anaonekana kabisa kama vile yeye binafsi anapingana na 'alichoagizwa' kukiongea.
Hii mizaha haitatufikisha popote, hii tabia ya eti 'tumpe muda' mheshimiwa itatughalimu miaka mingine hamsini tukiwa na utamaduni huu huu wa kupeana muda, huku muda wenyewe unasonga bila ya kujari kuwa sisi tunasubiriana baada ya kugawana muda.
Ninakumbuka Rwanda walipokuja hapa nchini kujifunza namna mfumo wa T.R.A unavyoweza kuwasaidia wao kudhibiti na kukusanya mapato, leo hii waalimu sisi tunawaomba wanyarwanda watuletee wataalam walewale wa jambo lilelile tulilowafundisha...ndiyo kusema nchi yetu ina uwezo wa kutengeza waalimu tu lakini si wataalamu (implementers)?

Ninasubiri Tena serikali ije hadharani mbele ya vyombo vya habari kukiri namna walivyokosea. Mnapaswa kumsaidia rais badala ya kutafuta namna ya kumuogopa...mtatuharibia nchi nyie watu, kama hamuwezi kazi basi kaeni pembeni.
 
Huyu gavana hana msaada wowote nchini..ndio maana BOT ina mauzauza kibao..atoke tu hizi nyakati zimemzidi uwezo.
BOT wako sawa, labda mrudi bungeni mkarebishe sheria zile kura zenu za ndioooo bila kutafakari.
 
Back
Top Bottom