Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Hapo anatafutwa mliji wa mwisho afutiwe mikono hakuna kingine.
Hapa kazi tu.Hahahahaha jana nilijua tunaingizwa chaka na T. R. A
Tangu lini V. A. T akalipa mfanya biashara. V. A. T ni consumption tax.
Nchi ya miujiza hiii. Tangu lini kuwe na double standards kwamba bank ndo zilipe VAT ila biashara zingine mteja ndo alipishwe.
Yani tumefikia pabaya sana kama taasisi kubwa hivi za kuaminika zinapishana kauli hadharani.
Ili aletwe wa ndiooooooo.....oo?Siku za Ndulu ofisini zinahesabika. Ni swala la muda tu
Mbio za kumfurahisha mtukufu na kutupiana mizigo.Kwa mujibu wa act ya Vat Ndulu yuko sahihi KIDATA anatakiwa kwenda ITA kupatiwa mafunzo ya Induction course ambayo ni ya lazima kwa kila mwajiriwa mpya wa TRA. Vinginevyo atashindwa kumshauri rais pia ni vyema akawatumia wasaidizi wake kabla hajatoa tamko lolote linalohitaji uelewa wa kodi. Yeye ni CEO tuu mengine afanye rejea kabla hajaongea huo ni ushauri tùu
Yaani kamshahara nikalipie PAYE-halafu ili nikatoe kwenye account nikalipie (bank charges + VAT) halafu ukienda kununua sukari (unalipa VAT tena). OMG haya tuwe wazalendo tulipe kodi!!!!!Tra hakuna wajuvyi wa kodi, nafasi nyingi za kugaiana tu. Hata hio vat juu ya ada ni utumiaji mbovu wa vat. Sio kila mahala una toza vat.
Hii kwa uerfu ni valu added tax. Inatumika pale mlaji anapo nunua kitu. Hutumika zaidi kwenye bidhaa na sio kwenye services. Na hii ni kodi ambayo kuna wengine wapo excempted mfano diplomats . Hawa wanapo nunua kitu au service basi huomba refund...ni usumbufu sana ila tra hawajui ku plan mambo yao kwani wana ukosefu wa wataalam wa kububi hiw yo implement tax wanazo zitunga.
Na hili la bank vat haikupaswa kuwekwa kabisa , ndio kama lile la utaliii....
Gharama za kuweka fedha benki hazitakiwi ziwe juu . Ukiweka vat ni wazi banki wata ongeza juu ada zao kufidia ile iliokatwa na vat....hivyo gharama zinaenda kwa mteja.
Tukumbuke fedha zozote zinazo wekea bank tayari aidha ni income au revenue ya makampuni au mishahara ya wafanyakazi ambao wanapitishia fedha benki.
Hizi fedha sio product, hizi tayari ndani yake kuna vat ya tra , kuna stamp duty ya tra, kuna WHT ya tra pia kuna corporate tax ya tra...na kwa wafanya kazi ni net income baada ya kutoa payee. Kuzitoza kodi kwa njia yoyote ile hata kwa kuongezeka ada juu kutokana na kuanzishwa vat ya ada sio sawa kabisa kabisa..ni kodi haramu au kodi jipu
Ukishataja sukari hoja yako haisikilizwi tena na wale wa ndiooooooMkuu mbeziboy mabenk yangewezaje kulipa tena wakati yanalipa kodi ya jumla kwenye mapato yake?na mapato ni pamoja na bank charges.Yani muuza duka alipe kodi ya mapato na bado alipie kodi ya sukari peke yake,inakuwaje?
Hah hah hah hah, tunasafari ndefu sana mkuuIli aletwe wa ndiooooooo.....oo?
Siyapendi aliyosema Ndulu lakini hii haifanyi aliyosema kuwa si kweli, kiukweli nimeanza kuona huenda akawa sawa. Hii haituzuii kupiga kelele kama serikali ilikosea yaweza kujirekebisha au sivyo tutulie tu dawa ii...e.Ndulu hajasoma/hajaielewa taarifa ya TRA.Amekurupuka. Kwanza huyu mtu ni jipu. Nashangaa mpaka leo hajatumbuliwa.
Pole sana. Huu ni mwanzo tu.Siamini habari hii..
Well said broo kuna watu wanatoa maoni bila kujua msingi wa VATBank Charges Haziepukiki,ziwe na kodi ndani yake ama zisiwe na kodi ndani yake.Kumbuka Zile ni sehemu ya gharama unazotozwa kwa huduma unazopata za kibenki.Sasa kama Serikali yako haikuwa inatoza chochote kwenye charge hizo si kosa la Benki ama jukumu la benki kuiambia Serikali iwacharge.Na vyovyote vile,Tozo hiyo ikiitwa VAT basi automatically jukumu linakuwa kwa mlaji,na hata iwe excise duty nyingine,Mabenki yatatafuta namna ya kuongeza mzigo kwa wateja kwa kigezo cha kupanda kwa gharama za uendeshaji.
Mkuu tatizo watu wa nchi hii wanashabikia hii serikali ya 5, bila hata kujua nini kinaendelea!.I
Ikiwa huyajui haya mambo ni bora ukauliza kuliko kukurupuka. Sio hivyo mkuu.
TRA wamechemka, BOT iko sahihi
Huyu jamaa yuko sahihi saa zote!Huyu prof anajua yupo kipindi ch JK nini?
Bro wa sasa hachelewi kuchapisha note mpya
Rafiki Ndulu yupo sahihi kabisa.VAT inalipwa na mlaji.Labda wabadili Income Tax Act kabla ya kuwapa oda.Huyu gavana hana msaada wowote nchini..ndio maana BOT ina mauzauza kibao..atoke tu hizi nyakati zimemzidi uwezo.
Nashangaa labda Waziri Mipango hajaisoma Income Tax ActI
Ikiwa huyajui haya mambo ni bora ukauliza kuliko kukurupuka. Sio hivyo mkuu.
TRA wamechemka, BOT iko sahihi
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi.
Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya