chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,402
- 4,398
huyu ndiyo katumia uprofesa wake vyema sio unapelekeshwapelekeshwa tuNatoka serikali hii mtu ambaye kanionyesha msimamo Ni ndullu peke yake
huyu ndiyo katumia uprofesa wake vyema sio unapelekeshwapelekeshwa tuNatoka serikali hii mtu ambaye kanionyesha msimamo Ni ndullu peke yake
Ni hatari sana kuendesha taasisi nyeti kama TRA kwa mizuka. Hivi kweli hao TRA hawajui maana ya VAT? Hiyo finance act iliyopitishwa hivi karibuni lengo lake ni kuzidi kuwakamua wananchi. Na ndipo utaliona tatizo la ushabiki wa wabunge wetu na mbwembwe ktk kuropoka "ndiyooo" kizuzu bila kupitia, kuisoma na kuichambua kwa kina miswada inayoletwa bungeni.
Mizuka na uchama vinatumaliza.
Kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba VAT ni zigo la mlaji. Benki na Ndulu wako sahihi. Wacha tuisome hisabati kwa miaka takribani 10 tena labda tutazinduka.
Uchama hoyee!
Mizuka hoyee!
Udini hoyee!
Ukanda hoyee!
Asanteni kwa kusoma maoni yangu.
Mkuu wengi hawajui na hawana elimu ya kodi. Hawataki kuuliza wanaingia kichwa kichwa tu kujadili kitu wasichokijua. Hakuna mtu anayeweza kujua kila kitu. Lakini hapa JF kuna watu wanataka kila uzi wachangie hata kwa mambo wasiyoyajua. Tujifunze na kuuliza kwa wanaojua, humu JF wapo wataalamu pia wa mambo yanayohusu kodi. Tusome comment zao tuelimike.I
Ikiwa huyajui haya mambo ni bora ukauliza kuliko kukurupuka. Sio hivyo mkuu.
TRA wamechemka, BOT iko sahihi
Hehehehehehehe eti prof nae hajui, akili uliyozaliwa nayo umepeleka wapi wewe,?? Yote umeiacha ccm, hapa umekuja na boga tuu??Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Utaamini vipi wakati sio Gazeti la Uhuru na Habari leo wameripoti??Siamini habari hii..
na CAG Prof.Assad.Natoka serikali hii mtu ambaye kanionyesha msimamo Ni ndullu peke yake
Acha story za vijiweni tafuta ukweliIla kwa sasa ile gharama tuliyokuwa tulipa kwa muamala 18% itakwanyuliwa na kupelekwa TRA. Iwapo wataruhusiwa kuongeza gharama za mihamala na serkali ikakubaliana nao ndio hapo watakuwa wamekula matapishi yao. Issue Bank walikuwa wanatoza hela kubwa na ni ajabu kwanini TRA walikuwa hawachukui chao, inabidi wapeleke mapato TRA. Aidha ni uzembe mkubwa ulifanywa na TRA kutotoza ushuru kwenye huduma hizo tangu awali. Haswa watu wa simu ndio wezi kupindukia, watu wamekariri huduma fasta ila ni wezi haswa wa pesa zetu tangu huduma za upigaji hadi za kifedha.
Awali hakuna,hiyo ni sheria mpya,lazima gharama zipande ili kodi mpya ipatikanehuyo prof asituchanganye kabisaaaaa!!!swali hapo ni hili:je kutoa pesa au kutuma pesa ni huduma ?na huduma hii benk walikuwa walapeleka VAT serikalini?kama hapana maana yake serikali ilikuwa ikipoteza mapato ya kodi hii!!!maana yake walikuwa na msamaha Wa kodi hii!!hivyo serikali imeondoa msamaha huu!!Prof huyu kama haelewi basi ni jipu ajiuzulu haraka!!
Hapa ilitakiwa serkall iseme makato yanayofanywa na benki ni makubwa
Mfano kama ni tshs 1000
Basi kuanzia julaii makato yabaki ni 1000 na katika hiyo 750 iende bank na 250 iwe kusanyo la kodi.
Hapo bado anayelipa kodi bado ataendelea kuwa mlaji na faida kubwa ambayo benk ingepata itapungua
Aondolewe kwasababu anapingana na (TRA ) mamlaka iliyotoa taarifa za ukwepaji wa kulipa kodi kwa mabenki na kututwisha mizigo sisi wananchiGazeti la Mwananchi: Wakati TRA ikiitaka BOT izichukulie hatua bank zilizotangaza kuongeza gharama za huduma za kibenk, BOT imesema mabenki yapo sawa!
Prof.Ndulu anasema mabenk watakuwa mawakala wa TRA tu katika kukusanya VAT lakini si walipaji,kwa hiyo hawezi kuwachukulia hatua.
Beno Ndulu ametolea mfano unapokua unauza duka unakuwa wakala tu wa TRA na sio mlipaji.....KUMEKUCHA
VAT ni Value Added Tax. Mfanyabiashara yeyote anapiotoa, anaihamimishia kwa mlaji. Kama serikali ilikusudia kukusanya kodi KWENYE MAPATO ya benki, basi isingekuwa VAT, ilipaswa iwe KODI YA MAPATO.Huyo prof naye hajui. TRA wamesema mabenki yalikuwa yakusanya bila kulipa. Sio new makato. Mwee
Tulilia maridhiano kati ya wabunge wa ukawa na NS kwa afya ya taifa...watu wakasema NS aendelee kuwanyoodha...naamini Kabisa ukawa wangekuwepo bungeni hii kitu ingeangaliwa kwa jicho la tatu Na huu mkanganyiko usingekuwepo...kila kitu kingewekwa sawa huko huko bungeni...ninachoshangaa zaidi ni pale commissioner Mkuu TRA mishipa ya shingo inamtoka akiongea kitu ambacho anajua kabisa sio sahihi...ila Jana nilipomuona akiongelea hili jambo nilihisi kitu kwani kichwa Na mdomo vilikiwa havina ushirikiano...Sijui aliambiwa tu nenda ukaseme hivi..Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi . Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
hv tra hakuna watu smart au wanamharbia magufuri makusudi,nahisi magufuri ana hujumiwa maana kipindi hiki kuna makosa mengi ya kijinga ni km yanafanywa makusudi