hahaha. ...jinga laoooooooooooo....hahaha. ..hii ni laana hii.....Kamishna ametoa ufafanuzi jana na instructions anayebisha ajitokeze.
Unfortunately tangia Magufuli ameingia madarakani wanao ikosoa serikari yake ndio wanataka kuona anafanikiwa mpaka sasa kwenye score card wakosoaji wamekuwa right mara nyingi kushinda watetezi.sasa inategemeana mkuu na utii bila shurti
Achana na hii mijinga mkuu.yani vijana wa Lumumba ni bure bure kabisa. Hata kama. mnalipwa buku mbili zenu msijitoe akili kiasi hiki.
Chukua smartphone yako unayotumia kupost humu. Google neno V. A. T. Soma definition ya VAT ndo ujue anatakiwa alipe mlaji au biashara.
Khaaaaaa am shamed to be a Tanzanian, Kama ndo wavivu wa kufikiri hivi. Yani asubuhi akili yako inatakiwa iwe active lakini umeamua utumie akili za usiku.
No wonder Kenya hatutakaa tuwapite na wataendelea kutudharau milele kama hizi ndo akili zetu.
wabunge wa CCM hawakuona hili?
Turudi darasani kidogo Value Added TaxGazeti la Mwananchi: Wakati TRA ikiitaka BOT izichukulie hatua bank zilizotangaza kuongeza gharama za huduma za kibenk, BOT imesema mabenki yapo sawa!
Prof.Ndulu anasema mabenk watakuwa mawakala wa TRA tu katika kukusanya VAT lakini si walipaji,kwa hiyo hawezi kuwachukulia hatua.
Beno Ndulu ametolea mfano unapokua unauza duka unakuwa wakala tu wa TRA na sio mlipaji.....KUMEKUCHA
It is very true.
Anachosema Profesa Ndulu ndiyo ukweli wenyewe, it is obvious VAT inalipwa na mlaji, kwa maana ya mteja.
Hao TRA na Dr Mpango wanaweweseka na kukanyagana na kujifanya kuyaambia mabenki kuwa yako wrong wakati yapo right.
Naamini huyo Dr Mpango 'anajuta' kuwamiss wabunge wa Ukawa, kutokana na huyo Tulia kutaka kulifanya Bunge letu liwe la maccm watupu.
Kwa kuwa kama vile :vichwa 'vya wabunge wa Ukawa wangekuwepo Bungeni, huu' upuuzi 'wa VAT kwenye miamala ya mabenki na kwenye makampuni ya simu kamwe isingepita.
Lakini ndiyo hivyo tena.. kuwa wabunge waliobaki Bungeni ndiyo wale wanaounga mkono kwa asilimia 100 kwa chochote kinacholetwa Bungeni na serikali, hata kama kitakuwa cha kipuuzi kama hiki cha miamala ya mabenki na makampuni ya simu....... Ndiyo hivyo tena ni
DISASTER....
siamini kama mchumi Mpango hajui jambo rahisi kama hili...something must be wrong somewhereUnfortunately tangia Magufuli ameingia madarakani wanao ikosoa serikari yake ndio wanataka kuona anafanikiwa mpaka sijui wakosoaji wamekuwa right mara ngapi kushinda watetezi.
Binafis naamini dhamira ya Magufuli ni njema 100%; mbinu na plans za wataalamu ndio shida aziko kisayansi kabisa na wanaotetea hizi mbinu mbovu ndio watamuangusha.
Mlizoea kona kona sasa zimebanwa ...mlikuwa mnawakamua wananchi tu halafu mrejesho kwa serikali hakuna...Kitu ninachokijua na ukweli utabaki kuwa ukweli,kwa Mara ya kwanza toka uhuru nchii hii imepata waziri wa fedha anayeshindwa kuiongoza wizara katika muelekeo sahihi..
Kwa kifupi hatuna waziri wa fedha.
Nchi wanatakiwa watu wa ndiyo mzee. Prof arudi akafundishe ukweli chuoni. Hapa ni kazi tu. Fikra peleka shuleniSiku za Ndulu ofisini zinahesabika. Ni swala la muda tu
wangetumia kodi nyingine ipi wakati wana corporate tax inayokatwa kwa faida ya huduma wanazotoa bank charges inclusive?!haah haahGavana wa BoT yupo sawa. Ukiangalia maelezo ya VAT kwenye website ya TRA ( chini sub-heading ya How VAT works utaona maelezo haya"The broad effect of the scheme is that businesses are not affected by VAT except in so far as they are required to administer it, and the burden of the tax falls to the final consumer."
Kama TRA wangetaka mzigo usiende kwa wananchi wangetumia kodi nyingine na sio VAT. Mara baada ya bajeti ya serikali 2016/2017 kusomwa, wataalam wa masuala ya kodi walionya kuwa jambo hili lataleta mkanganyiko lakini hawakusikilizwa.
Ni hatari sana kuendesha taasisi nyeti kama TRA kwa mizuka. Hivi kweli hao TRA hawajui maana ya VAT? Hiyo finance act iliyopitishwa hivi karibuni lengo lake ni kuzidi kuwakamua wananchi. Na ndipo utaliona tatizo la ushabiki wa wabunge wetu na mbwembwe ktk kuropoka "ndiyooo" kizuzu bila kupitia, kuisoma na kuichambua kwa kina miswada inayoletwa bungeni.kitendo cha ile kodi kuiita VAT,Basi mzigo unaenda moja kwa moja kwa mlaji.Labda ibadilishwe jina na isiwe VAT.Profesa yuko sahihi.TATIZO HII NCHI KWA SASA MAAMUZI YA TULIOWAPA DHAMANA YANATOLEWA KWA HOFU YA KUTUMBULIWA.
Tukisema jamaa wanapwaya wengine wanadhani ni majungu au tunataka kuona Magufuli anashindwa; if anything tunataka kuona serikari inawekeza heavily kwa vijana huko vyuoni na kupeleka wakasome nje waje waisaidie Tanzania kesho hiyo ni invest lazima iendane na uwezo wa wanafunzi sio wanamjua nani ili swala alikwepeki.siamini kama mchumi Mpango hajui jambo rahisi kama hili...something must be wrong somewhere
Kwa sababu unaweza kuzichukua muda wowote kwa hiyo hawaziwekezi. Kama unataka upewe riba weka kwenye fixed account.masonzo said:Fikiria mtu anakopa pesa kwako kwanini akirudisha unadai riba.
Sisi tunaweka pesa zetu benki na wanazifanyia biashara kwanini wasitoe riba? Badala yake wanatukata
huyu ndiyo katumia uprofesa wake vyemaNatoka serikali hii mtu ambaye kanionyesha msimamo Ni ndullu peke yake
Ili bidi wafanye analysis wajue madhara na faida ya options zote kabla ya kuanza kutekeleza jambo hiliwangetumia kodi nyingine ipi wakati wana corporate tax inayokatwa kwa faida ya huduma wanazotoa bank charges inclusive?!haah haah