FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Ha ha ha!

Bye bye! Acha nimwandalie husband dinner, amechoka alikuwa shinyanga anakagua migodi yake! Ukimwona Mungi mwambie asinizoee!

Hii biashara ya kulala nyumba za wageni kero jamani! eti kikaroti changu kinataka nikitumbukize kwenye sufuria nikichemshe. sweetlady nilitee hicho kisufuria chako nikitumie........ usimweleze nitonye kama kawaida yetu mummy
 
Last edited by a moderator:

Hii biashara ya kulala nyumba za wageni kero jamani! eti kikaroti changu kinataka nikitumbukize kwenye sufuria nikichemshe. sweetlady nilitee hicho kisufuria chako nikitumie kama juzi........ usimweleze nitonye kama kawaida yetu mummy
 
Khaaaa! Mungi tafadhali usinivunjie ndoa heeee!

Afu utalalaje nyumba ya wageni wakati wewe mwenyeji?
 
Last edited by a moderator:
Hii biashara ya kulala nyumba za wageni kero jamani! eti kikaroti changu kinataka nikitumbukize kwenye sufuria nikichemshe. sweetlady nilitee hicho kisufuria chako nikitumie........ usimweleze nitonye kama kawaida yetu mummy

Mungi thibitisha au kanusha kauli yako kabla sijaomba mwongozo kwa Paw...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom