sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Jamani mume wangu! Usisikilize maneno ya watu banaUmeona eh hapa akili inanicheza
Jamani mume wangu! Usisikilize maneno ya watu banaUmeona eh hapa akili inanicheza
Jamani mume wangu! Usisikilize maneno ya watu bana
We ! Ishia hapo hapo! Nipo busy nambembeleza husband!
We ! Ishia hapo hapo! Nipo busy nambembeleza husband!
kwi kwi kwi kwi kwi
Naja sweetheart! Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe!Embu njoo kwanza chumbani nipunguze machungu
We ! Ishia hapo hapo! Nipo busy nambembeleza husband!
Wivu unawasumbua honey! Ukiwa haupo wananishauri nikuache ila wajua vile nakupenda na siwezi kuishi bila wewe! Waache waseme, wakichoka watalala!Mtajibeba mwaka huu
Embu njoo kwanza chumbani nipunguze machungu
Akuuuu! Unavyoshadadia umbea kwa mume wangu nitonye unadhani mie nafurahi? Nikiachika utanioa wewe?
Aaaaah! We nae umesahau utani wa husband?hah hah hah hah hah! Chumba cha guest au!? Si umesema halalagi nyumbani siku hizi!?