FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

FUNGUKA;.leo kila mtu ajisifie...

Aaaaah! We nae umesahau utani wa husband?

Toka lini wana ndoa wakalala guest? Alikuwa anatania bana! Ananijua mkewe nilivyotulia!

Unajishaua tu! Baba V kam zis wei! Kuna ndoa inakaribia kuvunjika!
 
Last edited by a moderator:
Unalo limekuganda! Kwani yeye ndiye aliyekwambia usilale nyumbani!?

Filipo acha kukengeuka mimi na na my wife huwa tunataniana hayo ni mambo ya kawaida, halafu mbona unavalia boksa nje ya kaptula
 
Last edited by a moderator:
Filipo acha kukengeuka mimi na na my wife huwa tunataniana hayo ni mambo ya kawaida, halafu mbona unavalia boksa nje ya kaptula
Mwaaaa ! Mwaaaa ! Mwaaaa !

Love you very much darling!
 
Last edited by a moderator:
Filipo acha kukengeuka mimi na na my wife huwa tunataniana hayo ni mambo ya kawaida, halafu mbona unavalia boksa nje ya kaptula

utani gani huo wa kulala nje!? Hah hah hah hah haaa!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!

Bye bye! Acha nimwandalie husband dinner, amechoka alikuwa shinyanga anakagua migodi yake! Ukimwona Mungi mwambie asinizoee!

Nani kachoka!? Muhudumu? Fungua ingine! Hapa mpaka Baba V aanzishe kamati!
 
Last edited by a moderator:
wewe tulia hapo! Baba V atakusaidia kuunda kamati ya kumtuliza mkeo awe analala nyumbani!
We naona viroba vishapanda kichwani lol. Utani wetu na husband nitonye umeung'ang'ania!! Tuache tupumue bana, usione wawili wakipendana!
 
Last edited by a moderator:
We naona viroba vishapanda kichwani lol. Utani wetu na husband nitonye umeung'ang'ania!! Tuache tupumue bana, usione wawili wakipendana!

kwi kwi kwi kwiiiiiii! Mnapendana kitu gani wakati mwenzio analalamika hulali nyumbani!? Lazima tuyawasilishe malalamiko yake kunakohusika! Lol...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom