Usicheke hayamkuti nyani 🥹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 domo flayaaaView attachment 3575527
Huenda utabiri ukatimiaCity 2 Arsenal 1
Nafungua pazia hapa mbona 2-1 tena kahNi huzuni tu mkuu ngumu kuhadithia 😞
Kuna nn mkuu mbona unatufokea tenaYake madomo bakuli kimya , lilikua suala la mda tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ShindwaaaaaHuenda utabiri ukatimia
DahSijapenda 😩
Tafuta timuWe fala utajutia, chelkenge mkubwa
DagSijapenda 😩
Maskini haya magoigoi yamefungwa tena
Yaani
Ukiwakuta mashabiki wake sasa venye wana confidence unaweza usipeleke timuMaskini haya magoigoi yamefungwa tena
View attachment 3575531
Uyaacha yabweke tu 🤣🤣🤣Ukiwakuta mashabiki wake sasa venye wana confidence unaweza usipeleke timu
Ila we bwashee unakera 😅 wakupokonye simuMaskini haya magoigoi yamefungwa tena
View attachment 3575531
Man City wa kubumba. Sijui unaelewa?😀😀
Maneno makali mno hayASema kushabikia Arsenal ukichaa