min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,354
- 167,762
Sawa
Sawa
Haya arsenal dah hahahah wamechomoa hahahahHahhaha mapema na chupa yangu ya pombe nikijiandaa kuwazomea🤣
Kiko wapi hahah arsenal oyeeeeChuma hicho 😂
Goooooooal
Tulia unamjua Kai weweHaya arsenal dah hahahah wamechomoa hahahah
Tulia Mkuu, Mtakazwa tuuKiko wapi hahah arsenal oyeeee
Pressure juu juuHii mechi sio ya kuangalia.
Hope kwa mbaliTulia Mkuu, Mtakazwa tuu
Nilijulishe mkuu nikishaanza kulewa naonaga vikatuni tu 🤣Haya arsenal dah hahahah wamechomoa hahahah
Donna nae kama anakazwa vile 😎
Kachomesha kipumbavuDonna nae kama anakazwa vile 😎
Mpuuzi Huyu, Ndo mana world cup analisikilizia Kwenye tv mana akili kisodaKachomesha kipumbavu
N kweli kwenye mpira kuna ubaguzi wa rangi, ila pia niggers tuna upumbavu mno
Mi nasubiri matokeo tu aiseeHii mechi sio ya kuangalia.
Kama wewe tuDonna nae kama anakazwa vile 😎