Kimazingira Arsenal kabebwa ubingwa EPL 2025/26

Kimazingira Arsenal kabebwa ubingwa EPL 2025/26

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
201
Reaction score
682
Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26.

Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi mbili akifuatiwa na arsenal kabla ya mechi ya mwisho .

Matukio mawili muhimu:
1.Dalot alitakiwa kupewa kadi nyekundu katika dakika kumi za mwanzo katika mechi ya Manchester derby. City alipoteza 2:0

2.Manchester city alitakiwa kupewa penati katika mchezo dhidi ya Newcastle United. City alipoteza 2:1 ugenini.

Chanzo: Fabrizio romano

1780566552098.jpg
 
Sahihi
 

Attachments

  • 6306360-0270cef915ef839fd85ba5054429a738.mp4
    2.3 MB
Vipi kadi nyekundu ya foden vs fulham? Na kuna game rodri alikuwa nae apewe kadi sikumbuki na nani
 
Back
Top Bottom