Huyu bibi inawezekana kwenye uzee wake wote hajawahi kuiona Arsenal imebeba ubingwaUyaacha yabweke tu 🤣🤣🤣
Hahahaaa. Nimeelewa. 😃😃Man City wa kubumba. Sijui unaelewa?😀😀
mechi bado nyingiNahisi huu msimu wangu wa mwisho kufuatilia EPL. Nitabaki na Formula One
Inauma lkn Vumilia 😂Sijapenda 😩
Vumilieni 😂Nahisi huu msimu wangu wa mwisho kufuatilia EPL. Nitabaki na Formula One
Kwamba bibi yetu ni mtoto wa 2005 😂Huyu bibi inawezekana kwenye uzee wake wote hajawahi kuiona Arsenal imebeba ubingwa
View attachment 3575540
Tumeelewa mkuu 😂Man City wa kubumba. Sijui unaelewa?😀😀
Mafuraha yamekuwa mengi 😂Kuna nini bwashee
Naomba usi ni mention mkuu, tuheshimiane mi mtu mzima.Kwamba bibi yetu ni mtoto wa 2005 😂
Intelligent businessman njoo ona bibi yako anadhalilishwa Huku 😂
Umekazwa bwashee 😂Naomba usi ni mention mkuu, tuheshimiane mi mtu mzima.
Hii comments kwa mwanao imenifanya nicheke kwa sauti kubwa sana 🤣🤣Naomba usi ni mention mkuu, tuheshimiane mi mtu mzima.
Kiko wapi 😂😂Huyu bibi inawezekana kwenye uzee wake wote hajawahi kuiona Arsenal imebeba ubingwa
View attachment 3575540