Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,161
- 126,231
Tulia Mkuu, ww kukazwa n suala la muda tuu.Kama wewe
Mistake ya dona isikutie Imani.
Tulia Mkuu, ww kukazwa n suala la muda tuu.Kama wewe
Dona na mbaga wote wale wale, wagawa utamu toTulia Mkuu, ww kukazwa n suala la muda tuu.
Mistake ya dona isikutie Imani.
Mie niweka pazia kwa TV 📺 naangalia kwa kuchunguli a nime mute sauti ya TVMi nasubiri matokeo tu aisee
Arsenal for life 🙌Bonge la game
Mistake ni sehemu ya mchezo na badoTulia Mkuu, ww kukazwa n suala la muda tuu.
Mistake ya dona isikutie Imani.
😂😂😂 si bora ukalale kaka mkubwaMie niweka pazia kwa TV 📺 naangalia kwa kuchunguli a nime mute sauti ya TV
Roho inataka kuangalia macho yananisaliti tukishinda Leo tufanye hata tafrija jamani😂😂😂 si bora ukalale kaka mkubwa
Hakuna kuzima moto arsenal Leo inabidi watubebe kimasomaso wala wikiendi iende vizury bora watoe hata sare kufunga na hawa City kha uongoFaya 🔥 Aseno fayaaa! 🔥.
Hata dare tu wazee! Hii gemu si ya mchezo mchezo.Hakuna kuzima moto arsenal Leo inabidi watubebe kimasomaso wala wikiendi iende vizury bora watoe hata sare kufunga na hawa City kha uongo
Mambo yasiwe mengi ,kipindi cha pili wakaze haswa shida yao huwa wanaridhika na kukata pumzi mapemaHata dare tu wazee! Hii gemu si ya mchezo mchezo.
Vikao vya panya nani atamfunga paka kengele paka akitokea mashimoni wote🤣Tupo live half time moja moja View attachment 3575510
Ngoja tusubiri.Mambo yasiwe mengi ,kipindi cha pili wakaze haswa shida yao huwa wanaridhika na kukata pumzi mapema
Kuna nini bwasheeHalaaaaaaaaaaaaaand
2:1Arsenal for life 🙌
Sijapenda 😩Halaaaaaaaaaaaaaand
Kuna nini?Sijapenda 😩
Ni huzuni tu mkuu ngumu kuhadithia 😞Kuna nini?