H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 984
- 1,866
Game ngumu mno arsenal ni under dogKwa situation aliyonayo city, hii game leo lazima ang'anga'ne kweli kutafuta matokeo.
Game ngumu mno arsenal ni under dogKwa situation aliyonayo city, hii game leo lazima ang'anga'ne kweli kutafuta matokeo.
Nipo nafasi ya tatu siwazi, UEFA nashirikiMkuu kwani tuna ugomvi nanyi au nadhani utakuwa mshabiki wa nyumbu ww 😀 man u ndo mna visirani
Mno na sherehe pia tuta organise miji yote duniani yaani siku hii itaitwa arsenal dayNimekuja kugundua Arsenal mna mashabiki wengi mkibeba kombe mtatunyoosha sana.
Iko waziHii game arsenal anashinda
Ya moto hii arsenal imani yangu kwao ni ndogo mno nimezoea maumivu ila hii ya Leo hana kwa kweliIko wazi
Pressure juu huku wamepita na electricity dah nchi ngumu hiiWe Are ON
Bora upumzike usiangalie mkuuPressure juu huku wamepita na electricity dah nchi ngumu hii
Mechi za mwisho tumezingua, ila sio hiiYa moto hii arsenal imani yangu kwao ni ndogo mno nimezoea maumivu ila hii ya Leo hana kwa kweli
Wacha ituue tumeipenda wenyewe mpaka nazeeka vikombe olaBora upumzike usiangalie
Wacha tuone hebu LeoMechi za mwisho tumezingua, ila sio hii
TupoHii game arsenal anashinda
Kikosi cha Leo siyo haba sema wanashida ya kukata moto second half ndo shidaSio the best kikosi ila sio mbaya..View attachment 3575500
Naona umeacha akiba ya maneno bwasheeSio the best kikosi ila sio mbaya..View attachment 3575500
Njozi hizi mkuuTupo
Hahhaha mapema na chupa yangu ya pombe nikijiandaa kuwazomea🤣Njozi hizi mkuu
Tupo liveTupo
Chuma hicho 😂We fala utajutia, chelkenge mkubwa