From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

eeeeerr mnh eeeh kwa apiarens unaonekana huitaji kuisomea, wewe utafaa hivyohivyo
kwa hiyo nije lini kuchukua mkataba wa ajira?
halafu unaonaje niwe nimeanza mwezi huu kusudi wiki ijayo nipate mshahara?
 
kwa hiyo nije lini kuchukua mkataba wa ajira?
halafu unaonaje niwe nimeanza mwezi huu kusudi wiki ijayo nipate mshahara?

There you are , utapigiwa simu hivi karibuni kwa ajili ya Intavyuu binafsi...., vigezo na masharti kuzingatiwa
 
rafiki salama?
mwache mwenzio anapongezwa kule kwa kumlipua Nape.
halafu anahitaji hug ujue! mfwate kule kule umpoze na hug stress zitapungua

... @FP, Me mzima sana.
Mwaka wetu huu.
Itabidi akodi majeshi ya kutulinda,maana anavolipukaga, ila usijali mummy Hug na Chum vyote atavipata akirudi leo jioni.
Namwacha kwanza afanye kazi aliyotumwa na kijiji.
 
safi saaana......
usisahau kuandaa na yale mambo yetu...... hakikisha hatoki hapo akishaingia kwenye himaya yako..... lazima asingizie tumbo limemkamata ghafla ili asirudi kwake, lol!
 
safi saaana......
usisahau kuandaa na yale mambo yetu...... hakikisha hatoki hapo akishaingia kwenye himaya yako..... lazima asingizie tumbo limemkamata ghafla ili asirudi kwake, lol!

Nadhani unanijua shost angu.
Nimkamatapo msela.
Mpaka muda huu hajuti kuwa na mimi.
 
Baba V!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Baba V!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Baba V at work!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!pole kwa kuchezea ban mara kwa mara.
 
Pamoja mkuu kabanga , afu jina lako kama nilishawahi kutana nalo maeneo ya Bukavu....!!!??

Huyu ni kaka yake Mbuyi Twite kiboko ya Madeni ya Maharage...ila hawa wanatokea kifasi ya Lupopo
 
Last edited by a moderator:
Baba V!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Baba V!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Baba V at work!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!pole kwa kuchezea ban mara kwa mara.

waooooh... upo mrembo....!!!? Ahsante sana , nimerudi na naendeleza kama kawa kama dawa, pamoja sana Asnam
 
Last edited by a moderator:
Wewe itabidi tukuandalie shelf lako peke yako kwa ajili ya ndoa...

Ndo maana nimekuteua mkuu, naona tayari umeanza kuunisaidia majibu mujarabu, Thenki yu vere machee (kama Makinda vile)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom