From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Ha ha ha Madame B.Afadhali umeniambia ulipo nije kukuchukua maana nilikua ninaimba kimoyo moyo



Machozi ya huba
yamenidondoka
sili nikashiba
nikafurahika
wangu mahabuba
ameshanitoka.

Ameshanitoka
mpanzi jamani
msitu na nyika
chozi kufuani
ninahangaika
wala simuoni.


Wala simuoni
sijui aliko
anipa mashaka
na masikitiko.
Sauti naghani
ajue niliko.

Utatunga sana mashairi lakini ur turn z just arround the corner!
 
Baba V nakupa masaa 20 uwe umejiuzuru kwa kuwa,
watoto wako Chilli , tedo wamefeli form four wamepata div 0.kama umeshindwa kuongoza familia yako je utaweza ongoza jamii?
2, ntafungua mashataka rasmi kumtaka Ben saa nane kulipa fidia ya bilioni moja iwekwe kwenye akaunti yangu ya uswisi kwa tuhuma za kuchukua mke wangu Madame B
3. Madame B muke yangu ya ukweli, Mamndenyi , Evelyn Salt tukutane PM kuandaa toleo la march la JF forbes
4.pole kwa Chilli na tedo kufeli fomu foo

We naona hizo bangi unazosaplai kwa waasi wa M23 ushaanza kuzivuta na wewe. Kwa taarifa yako habari zako nnazo, ukikosekana humu huwa unaenda Chuga kuchukua Cha Arusha unaenda kuwauzia waasi huko Congo kwenu, sasa ngoja ntakukomesha.
Unless uniambie umefananisha jina langu na la kakijana kangu kanakoitwa Tomato Chilli kalikomaliza form four mwaka huu. Na kamepata 1.13.
 
Last edited by a moderator:
Baba V sijaua kwa nini hizi taarifa haziwaja sent to my sweet heart Ronn M ?!au ndo mpango kando wa kuanza kututoa kwenye kinyang'nyiro?pia pole kwa masahibu me siasa nina allegy dr aliniambia nikigusa tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom