Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,309
- 144,658
Na bado mpaka ukohoe damu mwaka huu.
Darn! Woe is me.:sad:
Na bado mpaka ukohoe damu mwaka huu.
Nimekukosea nini mimi uwiiiiiiiii
yalaaaaa weeeeeeeeeee ntakuwa mgeni wa nani mimi? Uwiiiiiiii
ntamuangalia nanii usoni mimi mayoweeeeeeeeeeee
Heheheheee hata hivyo haziishagi na ndio unaongeza maufundi!akikaa kizembe zembe nazima taa tu mie, sijali wa rafiki wala nini....
Yaani wewe Njegele kweli, kuchukuliwa mkeo ndo umechanganyikiwa hivyo, umeshindwa hatta kutofautisha fom foo na piechi dii, kwa taarifa yako Chilli na tedo wanafanya piechi dii zao Harvard na Oksifod respectively, halafu punguza ubushoke, unamlaumu Evelyn Salt kwa makosa ya GWIJI la kumiksi na kukonfyuzi vidume Madame B...!!! kweli ukipenda chongo utaiita ni staili mpya
Madame BKwanza hata hyo dinner yenyewe usiende kukutana nae.
Atakulisha sumu bure.
Mamluki huyo.
Evelyn Salt
Moyo wangu umetulia sasa.Eti Madame B ananikataza nisikutane na wewe.aanadai wewe ni maluki utanulisha sumu.Naona hataki unisimulie kuhusu jinsi anavyoruka ruka na akina Chimbuvu.Lazima nije nitaumia mbinu
Kama sijasikia vizuri.
Madame B
Switie nimekuelewa.Dinner sitaenda tena.Asante kwa angalizo.sikukosea kuwa na wewe.Kweli nimeamini unanipenda.
Sasa Hun wangu kuliko niende Dinner nikitoka kazini ni bora nikutanae na marafiki zangu wanasiasa jioni.si unajua weekend yote tulikua wote na hata simu zao sikupokea?Wacha nikutane nao badala ya kukutana na Evelyn Salt
Tonane tongee mengi zaidi ya hayo....
Madame B
Switie nimekuelewa.Dinner sitaenda tena.Asante kwa angalizo.sikukosea kuwa na wewe.Kweli nimeamini unanipenda.
Sasa Hun wangu kuliko niende Dinner nikitoka kazini ni bora nikutanae na marafiki zangu wanasiasa jioni.si unajua weekend yote tulikua wote na hata simu zao sikupokea?Wacha nikutane nao badala ya kukutana na Evelyn Salt
Evelyn Salt
Moyo wangu umetulia sasa.Eti Madame B ananikataza nisikutane na wewe.aanadai wewe ni maluki utanulisha sumu.Naona hataki unisimulie kuhusu jinsi anavyoruka ruka na akina Chimbuvu.Lazima nije nitaumia mbinu
muda unaenda taratibu natamani kutoroka kazini.....
Heheheheee hata hivyo haziishagi na ndio unaongeza maufundi!
muda unaenda taratibu natamani kutoroka kazini.....
Nishakwambia Sitaki uonane na Evelyn Salt.
Ana mabomu kiunoni.
Ahaaa!!!
Kumbe ndo mchezo wako.
Siwezi kuvumilia kuwaona mnavopeana ahadi.
Uliona vibaya sio mabomu ni nanii.....
Haya Kutaniko jema.