Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,588
- 171,427
Achana na mume wangu nakwambia.
Mwambie yeye ndo aniache....
Achana na mume wangu nakwambia.
Yaani wewe Njegele kweli, kuchukuliwa mkeo ndo umechanganyikiwa hivyo, umeshindwa hatta kutofautisha fom foo na piechi dii, kwa taarifa yako Chilli na tedo wanafanya piechi dii zao Harvard na Oksifod respectively, halafu punguza ubushoke, unamlaumu Evelyn Salt kwa makosa ya GWIJI la kumiksi na kukonfyuzi vidume Madame B...!!! kweli ukipenda chongo utaiita ni staili mpya
Evelyn Salt...umenivutia ulivyo na moyo wa upendo.You are so caring!Ni wanawake wachache sana duniani wenye roho nzuri hivi.Natamani jioni ifike haraka tukutane wakati wa dinner.
Nimekukosea nini mimi uwiiiiiiiii
yalaaaaa weeeeeeeeeee ntakuwa mgeni wa nani mimi? Uwiiiiiiii
ntamuangalia nanii usoni mimi mayoweeeeeeeeeeee
Hehehehee na hiyo lazma itokee tu ila hakuna shida kuonja radha ya shemeji muhimu!Ni ushemeji tu wa kawaida...!!!!!!!
labda ije itokee tu automatically ila wala hamna kitu....
Mh!
Nasubiri.
Achana na mume wangu nakwambia.
Mpenzi wewe,mpenzi wewe,,
ukiniacha mi ntalia,ukienda zako ntabaki naumia,
kama ungelijua,,nasema babyyy
nakuomba basi urudi mami ,
nasema pliiiizz nakuomba mpenzi urudi
Mama watoto wangu mtarajiwa Madame B,achana na Evelyn Salt.kwanza anataka kutugombanisha tu na nikikutana nae dinner leo jioni nampa makavu.Wewe ni nanga yangu nipigwapo na dhoruba
Tunaonana hatuonani????????
Mama watoto wangu mtarajiwa Madame B,achana na Evelyn Salt.kwanza anataka kutugombanisha tu na nikikutana nae dinner leo jioni nampa makavu.Wewe ni nanga yangu nipigwapo na dhoruba
Mpenzi wewe,mpenzi wewe,,
ukiniacha mi ntalia,ukienda zako ntabaki naumia,
kama ungelijua,,nasema babyyy
nakuomba basi urudi mami ,
nasema pliiiizz nakuomba mpenzi urudi
Hehehehee na hiyo lazma itokee tu ila hakuna shida kuonja radha ya shemeji muhimu!
Mpenzi wewe,mpenzi wewe,,
ukiniacha mi ntalia,ukienda zako ntabaki naumia,
kama ungelijua,,nasema babyyy
nakuomba basi urudi mami ,
nasema pliiiizz nakuomba mpenzi urudi
Ahsante shem nimepata Pm zako, na picha ako nimepata!!!!!
nakujibu muda si mrefu....
Evelyn SaltAhsante shem nimepata Pm zako, na picha ako nimepata!!!!!
nakujibu muda si mrefu....
Arudi ili umlipizie kisasi....Mbona hukuwahi kumuimbia mashairi ukiwa nae hapo kabla? Madame B,amefika,ametulia,Tumetulizana