From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Evelyn Salt Amenipigia simu fasta ameniambia kuna taarifa muhimu ya kinipa leo jioni...nimemkubalia.Niamini Switie wangu Madame B.Nina Msimamo

Hee...!!! kweli nimeamini ujio wako si wa verse moja..!, avumaye baharini papa kumbe na makardinali mpo eee....!!!
 
Last edited by a moderator:
Hee...!!! kweli nimeamini ujio wako si wa verse moja..!, avumaye baharini papa kumbe na makardinali mpo eee....!!!

Ha ha ha Baba V,ila na wewe umehongwa kunipikia majungu na kesi za kupika
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia leo Mamndenyi sio mfanyakazi wa kampuni ya JF forbes ,kwa kukosa uaminifu,kampuni haitahusika na kitu chochote kinachomhusu
uongozi
jf forbes

Mshanyimana unyumba tayari huko...!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa Switie wangu,

Ila kuna mahali ulimuita Mume wangu,bado tukiwa chumbani tutaeleweshana vizuri Chimbuvu atatuharibia penzi letu.Ni kweli Baba V alinieleza kuhusu tabia za Chimbuvu na Nicas Mtei kunyanyasa wanawake.Hao sio wa ume bora.Wabaki kusuta,sie tujinafasi

Kila nikikumbuka....
View attachment 84583

Natamani kutoroka kazini,ila navumilia kwa kuwa ndiyo tunajenga maisha yetu ya baadae Laazizi wangu

Mpenzi, nivumilie.
Mie mtu ninayemchukia huwa namwita jina baya la mume.
Ila nimpendae namwita Switii.
Nakupenda.
 
Last edited by a moderator:
Nakuonea huruma,sababu unapoteza muda tu,nimechaguliwa kwenye tume ya CC taifa,na jiandae mwaka 2015 nikiwa rais wako na first lady Madame B
Madame B hapendi kuolewa na wanaume wanaonyanyasa wanawake.Haukumjali...tulia. nitakuharibia hata huko uliko
 
Last edited by a moderator:
Khaah,Swits njoo uniambie ukweli Chimbuvu uko nae kivipi?Halafu Yupo kwenye kile chama?Au umetumwa?

Mweh weekend yote tulivyokula maraha kumbe uko na mdau wa kile chama huku mimi nikiwa nashangilia hapa bila kujua?Come'on Hun!

Halafu weekend tulikua

View attachment 84581

Nilivyokwambia yeye anaonja profesheni uliniona mzushi ee..., tulia hivyo hivyn, afu tetesi zinasema akitoka kwako anaenda kwa mvuvi....
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt...umenivutia ulivyo na moyo wa upendo.You are so caring!Ni wanawake wachache sana duniani wenye roho nzuri hivi.Natamani jioni ifike haraka tukutane wakati wa dinner.

Ni kweli shemeji nna upendo usio na mipaka kabisa!!!
naona kama masaa hayaendi eti....
 
Evelyn Salt Amenipigia simu fasta ameniambia kuna taarifa muhimu ya kinipa leo jioni...nimemkubalia.Niamini Switie wangu Madame B.Nina Msimamo

Ben Saanane, naomba unielewe mpenzi na switii wangu.
Mie kusema ule ukweli sikuwahi kuolewa.
Huyo mtoto unaemuona nilim-adapti toka 'Reinbowu Opage Senta'
Maana 'mchumba' Chimbuvu mbegu zake zilikuwa 'dhaifu'
hvo ndo mana nikaenda chukua mtoto kule.
Nakupenda.
Je nami unanipenda?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom