From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

We dogo huyo mkeo anatumiama meseji na Ben Saanane we umekaa kimya tu, itakula kwako, labda huzijui sera za ki pipoz pawa, atakuwa hachomoki pale, muulize mkongoman chimbuvu analia kama mtoto, mcheki hapa

Kausha mwanaume.....sio kila kitu kinafaa kusema, utaniharibia dili zangu zote nikose pote!!!!!!!!
 
nashukuru kwa kutuonesha wasaidizi wako ambao tutawaambia matatizo ya ndoa zetu humu mjengoni cc, ila umekosea kumuweka watu8 kuwa msaidizi wako kwani mtoto mdogo na isie ni watu wazima itakuwaje tukimpelekea mattatizo ya kindoa mtoto mdogo atatua vipi huyo? bora angekuwa Bujibuji ingekuwa vyema au kaka yangu Erickb52 hapo sawa, sasa ndugu nilikutumia cheti cha ndoa yetu je ulikipata au Chimbuvu amekiacha home kwake kwani nilimpa akuletee tunakaa naye jirani yeye tunamwacha nyuma sisi tuko mbele yaani kigamboni. halafu kwanini hujamtumia copy mume wangu Mentor atajuaje yeye kama wewe umejipumzisha, ila usijali nitamwambia kwani mm umeshanipa cc yangu
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wapendwa wanajamvi wenzangu, Kwa upande wangu niko poa japo ninasumbuliwa na ukurutu kidogo nilioambukizwa huko lupango ambako kwa sasa nimepewa hadi chumba maalumu kwenye server namba 3.

Nina mambo machache ambayo ningependa kuyaongea nanyi hapa.

Mosi ni kuwatangazia uteuzi wa watu8 kuwa makamu wa mwenyekiti wa Tume ya mahusiano na ndoa hapa chit chat.Nafasi hii watashirikiana na gfsonwin ambae pia ni mwenyekiti wa umoja wa wanawake na mabinti hapa chit chat. Uteuzi huu umefuatia kukosekana kwa mara kwa mara kwangu mie mwenyekiti kutokana na ban ndogondogo na kubwakubwa ambazo zimekuwa zikiniandama siku za hivi karibuni.Nimewateua hawa kwa kuzingatia busara zao na uwepo wao hapa jamvini na uzoefu wao pia. Nawaombeni wanajamvi muwape ushirikiano na ushikiriano pindi ukìitajika.

Pili, napenda kuongelea habari ya mwenzetu Ruhazwe JR ambaye hatukuwa nae kwa muda mrefu baada ya yeye kupata matatizo na kimya kikatanda kwa muda mrefu hadi ikaleta wasiwasi kwa madau hadi pale alipojitokeza mwenyewe. Napenda kuliongelea hili kwa sababu limeleta mitazamo tofauti baina ya wadau wa hapa jamvini. Kimsingi ifahamike kuwa chìt chat kwa ukaribu wetu tumekuwa kama familia moja, tatizo la mwenzetu mmoja linatugusa sote, na ndio maana huwa tunapenda kupata taarifa ili kuwa updated,kuna baadhi yetu hapa walilaumu eti kwa nini wanachit chat walimlaumu Ruhazwe JR kwa kutotoa taarifa, Mie naamini alieanzisha uzi ule alikuwa na nia njema kabisa kwani baada ya ule uzi na maoni ya wadau tumepata tumaini jipya. Tuendelee kumuombea mwenzetu ili arudi tujumuike nae hapa kama mwanzo.

Pia ningependa kuwataarifu kuwa hivi karibuni nitatangaza couple ya mfano wa kuigwa ya mwaka 2012/13. Kigezo kikubwa ni namna ilivyoweza kudumu bila mifarakano na kutengana kwa muda mrefu. Hii itakwenda sambamba na kumtangaza mwanamke na mwanaume mmoj mmoja ambao wameongoza kwa kubadilisha wenza wao.

Mwisho ingawa sio kwa umuhimu napenda tu niwaambieni wana chit chat kuwa hizi ban zilizoniandama zisiwafadhaishe kwani nimeamua kuzikubali kwa ustawi wa nchi yetu. Kule siasani kuna watu huwa inahitaji wakati flani kutumia maneno yatakayofikisha ujumbe ipasavyo hata kama yatawaumiza na ndio maana wakati flani yanakinzana na busara za mods ambao nao wananipa hifadhi kunako server za Jf . Tutaendelea kuwa pamoja wapendwa.

Wenu
Baba V
Mwenyekiti wa tume ya kudumu ya mahusiano na ndoa chit chat 2013

C.c watu8, gfsonwin, Madame B, Erickb52, Ruttashobolwa, Judgement , Filipo Arushaone Chimbuvu Arabela Slave, Dr.zero, Mpenda Yesu, Ben Saanane, Vin Diesel charminglady Slave, snowhite (Pole kwa msiba), lady furahia Passion Lady Donn, jeneneke, TANMO, ummu kulthum Ndelejha, Kaizer, Kipipi , BADILI TABIA , Kijino Mr Rocky, Nicas Mtei, Dena Amsi, Asprin, The secretary, FP , cacico, Jeska, King'asti (mwambie mumeo apunguze ban kwangu asidhani sifa), Kongosho, Mamndenyi, Sefet , Mwanyasi, IGWE, Mamzalendo , nitonye, PakaJimmy, marejesho, sweetlady amu, mimisa Tonykp sharifaa , noahism, pombekali Supu ya Jiwe Invisible na wengineo woote.....:yo::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:

We mwana we, huyo watu8 isikuchanganye hiyo babyface, ni mtu wa makamo, ana mabinti wakubwa kabisa ambao wameolewa ambao ni WiseLady, charminglady(kaachika na bado ana mimba ya watu) na sweetlady(Naye kaachika ila ana mtoto wamezaa na nitonye).
Kuhusu cheti chenu cha ndoa hakijafika kwangu, kuna cheti nilikiona Chimbuvu alikuwa anapigiaa picha na wadada mitaani, labda ndo chenyewe, msalimie Mentor.
 
Last edited by a moderator:
kama hakukupa cheti chetu cha ndoa ngoja nikutumie mm mwenyewe kwani ninayo original yake naitoa copy hapa nakutumia isubirie inakuja muda sio mrefu hapa hapa wkwani Chimbuvu alikuwa msimamizi wetu tulimwamini ndo mana tukampa akupe nimeongea naye kwa simu kasema amesahau nakutumia sasa hivi pokea weka katika list yako subiri hicho hapo Marriage Certificate 2 copy.jpg new.jpg
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wapendwa wanajamvi wenzangu, Kwa upande wangu niko poa japo ninasumbuliwa na ukurutu kidogo nilioambukizwa huko lupango ambako kwa sasa nimepewa hadi chumba maalumu kwenye server namba 3.

Nina mambo machache ambayo ningependa kuyaongea nanyi hapa.

Mosi ni kuwatangazia uteuzi wa watu8 kuwa makamu wa mwenyekiti wa Tume ya mahusiano na ndoa hapa chit chat.Nafasi hii watashirikiana na gfsonwin ambae pia ni mwenyekiti wa umoja wa wanawake na mabinti hapa chit chat. Uteuzi huu umefuatia kukosekana kwa mara kwa mara kwangu mie mwenyekiti kutokana na ban ndogondogo na kubwakubwa ambazo zimekuwa zikiniandama siku za hivi karibuni.Nimewateua hawa kwa kuzingatia busara zao na uwepo wao hapa jamvini na uzoefu wao pia. Nawaombeni wanajamvi muwape ushirikiano na ushikiriano pindi ukìitajika.

Pili, napenda kuongelea habari ya mwenzetu Ruhazwe JR ambaye hatukuwa nae kwa muda mrefu baada ya yeye kupata matatizo na kimya kikatanda kwa muda mrefu hadi ikaleta wasiwasi kwa madau hadi pale alipojitokeza mwenyewe. Napenda kuliongelea hili kwa sababu limeleta mitazamo tofauti baina ya wadau wa hapa jamvini. Kimsingi ifahamike kuwa chìt chat kwa ukaribu wetu tumekuwa kama familia moja, tatizo la mwenzetu mmoja linatugusa sote, na ndio maana huwa tunapenda kupata taarifa ili kuwa updated,kuna baadhi yetu hapa walilaumu eti kwa nini wanachit chat walimlaumu Ruhazwe JR kwa kutotoa taarifa, Mie naamini alieanzisha uzi ule alikuwa na nia njema kabisa kwani baada ya ule uzi na maoni ya wadau tumepata tumaini jipya. Tuendelee kumuombea mwenzetu ili arudi tujumuike nae hapa kama mwanzo.

Pia ningependa kuwataarifu kuwa hivi karibuni nitatangaza couple ya mfano wa kuigwa ya mwaka 2012/13. Kigezo kikubwa ni namna ilivyoweza kudumu bila mifarakano na kutengana kwa muda mrefu. Hii itakwenda sambamba na kumtangaza mwanamke na mwanaume mmoj mmoja ambao wameongoza kwa kubadilisha wenza wao.

Mwisho ingawa sio kwa umuhimu napenda tu niwaambieni wana chit chat kuwa hizi ban zilizoniandama zisiwafadhaishe kwani nimeamua kuzikubali kwa ustawi wa nchi yetu. Kule siasani kuna watu huwa inahitaji wakati flani kutumia maneno yatakayofikisha ujumbe ipasavyo hata kama yatawaumiza na ndio maana wakati flani yanakinzana na busara za mods ambao nao wananipa hifadhi kunako server za Jf . Tutaendelea kuwa pamoja wapendwa.

Wenu
Baba V
Mwenyekiti wa tume ya kudumu ya mahusiano na ndoa chit chat 2013

C.c watu8, gfsonwin, Madame B, Erickb52, Ruttashobolwa, Judgement , Filipo Arushaone Chimbuvu Arabela Slave, Dr.zero, Mpenda Yesu, Ben Saanane, Vin Diesel charminglady Slave, snowhite (Pole kwa msiba), lady furahia Passion Lady Donn, jeneneke, TANMO, ummu kulthum Ndelejha, Kaizer, Kipipi , BADILI TABIA , Kijino Mr Rocky, Nicas Mtei, Dena Amsi, Asprin, The secretary, FP , cacico, Jeska, King'asti (mwambie mumeo apunguze ban kwangu asidhani sifa), Kongosho, Mamndenyi, Sefet , Mwanyasi, IGWE, Mamzalendo , nitonye, PakaJimmy, marejesho, sweetlady amu, mimisa Tonykp sharifaa , noahism, pombekali Supu ya Jiwe Invisible na wengineo woote.....:yo::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nimekutumia sasa hivi kwani hujakiona angalia humu mjengoni kiko utakiona nimekituma kingine kwani kile ndo hivyo tena yeye kasema amekisahau kumbe anakipigia picha huko oky nimemsamehe ila nimekituma kiangalie hicho hapo chini jamani
We mwana we, huyo watu8 isikuchanganye hiyo babyface, ni mtu wa makamo, ana mabinti wakubwa kabisa ambao wameolewa ambao ni WiseLady, charminglady(kaachika na bado ana mimba ya watu) na sweetlady(Naye kaachika ila ana mtoto wamezaa na nitonye).
Kuhusu cheti chenu cha ndoa hakijafika kwangu, kuna cheti nilikiona Chimbuvu alikuwa anapigiaa picha na wadada mitaani, labda ndo chenyewe, msalimie Mentor.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • imagesCAA2171V.jpg
    imagesCAA2171V.jpg
    12.7 KB · Views: 63
  • imagesCAP46OXK.jpg
    imagesCAP46OXK.jpg
    4.6 KB · Views: 58
Last edited by a moderator:
haya ni makubwa umekosea kabisa nilishatumaga kwa Filipo asafishe hizo picha na ngoja nimwambie alete hapa ili mzione maana nyie mwajua kubandika za watu hapa siwezi kuwa mnene kiasi hicho na wala sipendi kufanana na watu wanene kiasi hich
ladyfurahia picha zenu hizi hapa za ndoa

attachment.php

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom