From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

hahahahhaha........
CC: Waume zangu Woooooooote.



Nani akuite?, Kwanza mtu mwenyewe unan'taka, Na nisharipoti Polisi Jamii.

Heheehee he kye kye kye kye..... kwa kwa kwaaa...!!! mkamate Ben Saanane huyohuyo..
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu ndo kaliwa mazima..., kweli nimeamini asiyeskia la mkuu husikia la mdogo
Chimbuvu niko nae......
untitled.JPG




Na Ben Saanane niko nae........
Chadema.jpg
 
Angesema mwingine, lakini wewe..!!, ambaye deile tunashuhudia watu wakiokota machungwa chini ya minazi....

Acha tu mkuu tunatafuta dagaa mtaroni teh teh teh teh.................!
 
Na LOG OFF, Naenda fanya kazi niliyotumwa Na Chama.

Usivyokuwa na Haya utaenda kuanzisha uzi kuwa mwenyekiti nimejikopesha mabilioni y chit chat.... NIKIKUKAMATBA.... mapacha watatu tena wote Kulwa
 
Baba V nakupa masaa 20 uwe umejiuzuru kwa kuwa,
watoto wako Chilli , tedo wamefeli form four wamepata div 0.kama umeshindwa kuongoza familia yako je utaweza ongoza jamii?
2, ntafungua mashataka rasmi kumtaka Ben saa nane kulipa fidia ya bilioni moja iwekwe kwenye akaunti yangu ya uswisi kwa tuhuma za kuchukua mke wangu Madame B
3. Madame B muke yangu ya ukweli, Mamndenyi , Evelyn Salt tukutane PM kuandaa toleo la march la JF forbes
4.pole kwa Chilli na tedo kufeli fomu foo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom