From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Ha ha ha Madame B.Afadhali umeniambia ulipo nije kukuchukua maana nilikua ninaimba kimoyo moyo



Machozi ya huba
yamenidondoka
sili nikashiba
nikafurahika
wangu mahabuba
ameshanitoka.

Ameshanitoka
mpanzi jamani
msitu na nyika
chozi kufuani
ninahangaika
wala simuoni.


Wala simuoni
sijui aliko
anipa mashaka
na masikitiko.
Sauti naghani
ajue niliko.

Yani hapo tu ndo unaponkoshaga mie laazizi wangu.
Una-cover kila sekta.
Dah!
Najinoma mie.
Afu Punguza stress,utakonda bure Ben wangu.
 
Nakuonea huruma,sababu unapoteza muda tu,nimechaguliwa kwenye tume ya CC taifa,na jiandae mwaka 2015 nikiwa rais wako na first lady Madame B



Ha ha ha Madame B.Afadhali umeniambia ulipo nije kukuchukua maana nilikua ninaimba kimoyo moyo

Wala simuoni
sijui aliko
anipa mashaka
na masikitiko.
Sauti naghani
ajue niliko.
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt,kumbe? Tafadhali shem wangu naomba ukitoka kazini na mimi pia nikitoka tukutane jioni wakati wa dinner ili unieleze ukweli kuhusu huyu dada yako.naona dalili za kuumizwa huko baadae ingawa bado nampenda sana

Hata mie nakupenda sana mpenzi wangu.
Tatizo huyo Shemeji yako Evelyn Salt ni mbaya kwani ananikuwadia kwa Chimbuvu na Chilli.
 
Last edited by a moderator:
Bila kusahau dola ipo mikononi mwangu,ntakufungulia mashtaka kwa kamati ya Baba V kuchukua mke wa mtu ,, mke halali wa ndoa ni kinyume cha sheria za CC na adhabu yake ni kutopewa like hata moja,be very careful


Khaah,Swits njoo uniambie ukweli Chimbuvu uko nae kivipi?Halafu Yupo kwenye kile chama?Au umetumwa?

Mweh weekend yote tulivyokula maraha kumbe uko na mdau wa kile chama huku mimi nikiwa nashangilia hapa bila kujua?Come'on Hun!

Halafu weekend tulikua

View attachment 84581
 
Last edited by a moderator:
Usijali Mpenzi wangu.
Mie sio Mamluki.
Me niko upande wako kabisa.
Unajua huyu Chimbuvu alikuwa hanijali kbs.
Alivoona wewe umenipata,ndo anakuja eti anadai unaniiba mimi.
Achana nae.
Eti mie unaniiba!
Au hajui kama Mkubwa hapangwi?

Dear wangu,
tufanye yetu.
Achana na akina type ya chama cha Chimbuvu.

Nimekuelewa Switie wangu,

Ila kuna mahali ulimuita Mume wangu,bado tukiwa chumbani tutaeleweshana vizuri Chimbuvu atatuharibia penzi letu.Ni kweli Baba V alinieleza kuhusu tabia za Chimbuvu na Nicas Mtei kunyanyasa wanawake.Hao sio wa ume bora.Wabaki kusuta,sie tujinafasi

Kila nikikumbuka....
View attachment 84583

Natamani kutoroka kazini,ila navumilia kwa kuwa ndiyo tunajenga maisha yetu ya baadae Laazizi wangu
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt,kumbe? Tafadhali shem wangu naomba ukitoka kazini na mimi pia nikitoka tukutane jioni wakati wa dinner ili unieleze ukweli kuhusu huyu dada yako.naona dalili za kuumizwa huko baadae ingawa bado nampenda sana

Shaka ondoa shem, kama unaona utaumizwa chapa lapa mapema wanawake tupo wengi wenye mapenzi ya kweli....
kuumiza mwanaume kwetu mwiko!!!!!!!!!!
 
Bila kusahau dola ipo mikononi mwangu,ntakufungulia mashtaka kwa kamati ya Baba V kuchukua mke wa mtu ,, mke halali wa ndoa ni kinyume cha sheria za CC na adhabu yake ni kutopewa like hata moja,be very careful

Kama ulinioa,
Cheti kiko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Baba V nakupa masaa 20 uwe umejiuzuru kwa kuwa,
watoto wako Chilli , tedo wamefeli form four wamepata div 0.kama umeshindwa kuongoza familia yako je utaweza ongoza jamii?
2, ntafungua mashataka rasmi kumtaka Ben saa nane kulipa fidia ya bilioni moja iwekwe kwenye akaunti yangu ya uswisi kwa tuhuma za kuchukua mke wangu Madame B
3. Madame B muke yangu ya ukweli, Mamndenyi , Evelyn Salt tukutane PM kuandaa toleo la march la JF forbes
4.pole kwa Chilli na tedo kufeli fomu foo

Yaani wewe Njegele kweli, kuchukuliwa mkeo ndo umechanganyikiwa hivyo, umeshindwa hatta kutofautisha fom foo na piechi dii, kwa taarifa yako Chilli na tedo wanafanya piechi dii zao Harvard na Oksifod respectively, halafu punguza ubushoke, unamlaumu Evelyn Salt kwa makosa ya GWIJI la kumiksi na kukonfyuzi vidume Madame B...!!! kweli ukipenda chongo utaiita ni staili mpya
 
Last edited by a moderator:
Shaka ondoa shem, kama unaona utaumizwa chapa lapa mapema wanawake tupo wengi wenye mapenzi ya kweli....
kuumiza mwanaume kwetu mwiko!!!!!!!!!!
Evelyn Salt...umenivutia ulivyo na moyo wa upendo.You are so caring!Ni wanawake wachache sana duniani wenye roho nzuri hivi.Natamani jioni ifike haraka tukutane wakati wa dinner.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu
waambie nilivyokutoa resi kule PM.

Baba V nakupa masaa 20 uwe umejiuzuru kwa kuwa,
watoto wako Chilli , tedo wamefeli form four wamepata div 0.kama umeshindwa kuongoza familia yako je utaweza ongoza jamii?
2, ntafungua mashataka rasmi kumtaka Ben saa nane kulipa fidia ya bilioni moja iwekwe kwenye akaunti yangu ya uswisi kwa tuhuma za kuchukua mke wangu Madame B
3. Madame B muke yangu ya ukweli, Mamndenyi , Evelyn Salt tukutane PM kuandaa toleo la march la JF forbes
4.pole kwa Chilli na tedo kufeli fomu foo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom