Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,519
- 171,167
Multiple ID at work.
Yake yangu, yangu yake.....
Multiple ID at work.
Yeye ndo aliyempeleka mkeo kwa Ben Saanane au...!?? tuelezane
Habari ya asubuhi Mume wangu
Nampa masaa 24 Evelyn Salt la sivyo nitamlipua
Shemeji hebu naomba tuonane saa tano usiku tuongee haya mambo kiutu uzima, tuyamalize kabisa!!!
si eti shemeji angu eeh!!!!
Evelyn Salt nakupa masaa 24 ujieleze na uombe radhi kwa kumuambukiza mke wangu Madame B tabia mbaya
Tuonane tu leo yataisha shemeji angu, I love u...(upendo wa kawaida namanisha)
Evelyn Salt nakupa masaa 24 ujieleze na uombe radhi kwa kumuambukiza mke wangu Madame B tabia mbaya
nshakuelewa huitaji kujieleza zaidi mpaka usiku ufike
Heheheheee we unajua ni kwa kipo hadi ameanza kuchanganya watu mara wana CCM mara wana CDM lol
Shemeji nakupenda pia, ila unanigombanisha na semeji angu wa kambo Chimbuvu
Uage unaenda kuangalia mpira!!!!!!!!!!!
Kumbe ulimpa mimba J S ? duh!
abeeee!! unasemaje honey njoo huku mabondeni guest house tuzungumze maana Slave kasafiri
Shemeji hebu naomba tuonane saa tano usiku tuongee haya mambo kiutu uzima, tuyamalize kabisa!!!
si eti shemeji angu eeh!!!!
Sipendi Kusutwa.....Ha ha ha Nicas Mtei
Hizo ni vurugu za kisiasa zinazosababishwa na wivu wa kimapenzi
Koma wee!
Unanipa shkamoo wakati daile twakutana Kimboka!
Shkamoo mwenyewe.
Sipendi Kusutwa.....Ha ha ha Nicas Mtei
Hizo ni vurugu za kisiasa zinazosababishwa na wivu wa kimapenzi
Uage unaenda kuangalia mpira!!!!!!!!!!!