Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Naomba ukae pembeni,haiwezekani amuharibu mke wangu
mimi nimeuliza swali tu jamani....
Yeye ndo aliyempeleka mkeo kwa Ben Saanane au...!?? tuelezane
Hivi wewe..!!?? ina maana hujaniona ee...!!??[/QUOTE
Akhaaa babu!sijakuona na ndio nawafwata kina digital kama ifuatavyo!
au kama vp tukutane digital!
Nicas Mtei acha umbea, niacheni nipumuwe na Ben Saanane wangu.
Jamani,msinichokoze.
Mpenzi wangu bado ana stress,msije muuwa na presha bure.
Hahahahaaaa weweeee:violin:Mh!kwani mwandiko wangu umeambatana na wimbo wa enrique o?usikute nakubembeleza bila kujijua!
Asante,
Ndo hivo tena, Nimetulia tuli mtoto wa kike, sina wasi.
Nipo na wa ubani wangu, Twangojea Uchaguzi.
Yeye ndo aliyempeleka mkeo kwa Ben Saanane au...!?? tuelezane
Copy kwa Ben SaananeHabari ya asubuhi Mume wangu