From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

[emoji4][emoji4][emoji4] pole sana bro! From psychological point of view, huyo mke wako yuko guilty of something kafanya ambacho anajua sio sahihi ktk mapenzi yenu. Usipanic, tulia,chuja,fanya maamuzi [emoji1534]
Amekunyugwa peku
 
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
Mwanaume ndie aliyekutumia, wakati amepumzika kutafuta cha tatu.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani watu humu hawana utamaduni wa texts za hivyo kutoka kwa wenza wao.

Ujinga ni huyu bwana akibeba komedi za humu na kuzifanyia kazi.
[emoji3][emoji3]
 
Wabongo jamani mnashida sana.
Mtu anatuma sms nzuri kwa mumewe yeye anahoji?

Ulitaka aambiwe nani?

Ushaanza kudoubt...daaa kazi kwelikweli....

Umezoa sms za mume wangu, mtoto anaumwa, nitumie hela ya chakula
Sio utaratibu wao that's why anashangaa

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shtuka broh

Yaani wewe kumbe Ni mume wake halafu anakuambia Hana mwingine zaidi yako !?? [emoji3][emoji3][emoji3]

How come mke wa mtu awe na mtu mwingine zaidi ya mumewe ?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ngoja nitoe uzoefu kidogo,

Niliwahi tumiwa meseji ya aina hiyo tulikuwa tupo mbalimbali km miezi miwili hivi, kwa bahati siku ananitumia hiyo text nlikuwa safarini narudi ila nilitaka kumshtukiza tu. Nilipofika nyumbani hakuwepo, simu akawa hapokei. Aliporudi nikataka kumla, aiseeh hakukubali katu. Nikajua hapa sina changu, nikapiga chini nkamove on.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Puuzia tu.
Hivyo vimisemo ananitamkiaga sana yf nikiwa nampiga show ila hata sijisumbui navyo.Atajua mwenyewe.Yeye ndio anajua ukwel.Kama unamuamin poa kama humwamin pia fresh.baki na msimamo wako.

Hiyo message mjibu tu "HAINA NOMA YF.TUKO PAMOJA"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom