From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
Kuna mme mwenza mwingine. Hadi ukashtukia, manake hio text haikupangwa kuja kwako. Kaituma kwako kimakosa. Hio ni ya mme mwenza. Hapo pa kumdaka ni kumwambia nimegundua unani-cheat na namjua huyo mtu ulikuwa unatuma hio text kwake. NIAMBIE UKWELI NITAKUSAMEHE, AU UKINIDANGANYA NAKUACHA UENDELEE NAYE. Ila subiri muda kidogo ndio uitume. Ionekane umefanya uchunguzi kidogo
 
Wabongo jamani mnashida sana.
Mtu anatuma sms nzuri kwa mumewe yeye anahoji?

Ulitaka aambiwe nani?

Ushaanza kudoubt...daaa kazi kwelikweli....

Umezoa sms za mume wangu, mtoto anaumwa, nitumie hela ya chakula
Siyo Wabongo tuna shida bali ni yeye pekee ndiye ana hiyo shida.
 
Mke wako ndie anaejua ukweli. Lakini ukitaka kufurahia maisha usipende kufikiria -ve kwa mtu wako
 
Back
Top Bottom