From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Je kuna usalama kweli wakuu, niko mbali na mke wangu , then from nowhere kanitumia hoyo text
Hivi haijawahi kutokea ghafla ukaona kitu kikakukumbusha ni kwa jinsi gani unampenda mtu, au ukawaza kitu ukakumbuka ni kiasi gani mtu flani ni muhimu sana kwako ukajikuta unampigia simu au unamtumia msg kama hiyo? Huenda na yeye kuna jambo kafikiri ambalo uliwahi kumfanyia ndiyo maana kaandika hivyo.
 
Ngoja nitoe uzoefu kidogo,

Niliwahi tumiwa meseji ya aina hiyo tulikuwa tupo mbalimbali km miezi miwili hivi, kwa bahati siku ananitumia hiyo text nlikuwa safarini narudi ila nilitaka kumshtukiza tu. Nilipofika nyumbani hakuwepo, simu akawa hapokei. Aliporudi nikataka kumla, aiseeh hakukubali katu. Nikajua hapa sina changu, nikapiga chini nkamove on.
 
Hivi haijawahi kutokea ghafla ukaona kitu kikakukumbusha ni kwa jinsi gani unampenda mtu, au ukawaza kitu ukakumbuka ni kiasi gani mtu flani ni muhimu sana kwako ukajikuta unampigia simu au unamtumia msg kama hiyo? Huenda na yeye kuna jambo kafikiri ambalo uliwahi kumfanyia ndiyo maana kaandika hivyo.
Inatokea ila sio kwa text km hiyo mkuu
 
sio kila kitu cha kuleta humu aisee unaweza kufa kwa stress!
kwa upande wangu nadhani mkeo huenda kuna kitu dhidi yako amegundua hakipo sawa na possibly kaudaka mmoja wa mchepuko wako, jiandae kwa vita baridi ukirudi
 
Back
Top Bottom