From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo from nowhere nilitumiwa quote na aliekua mwanamke wangu na ilikua inasomeka hivi,
"when i count my blessings i count you twice"

nilishangaa maana ni kitu kipya kidogo.ilikuja kutokea tukazinguana kwa issue za usaliti na baada ya kuchunguza vizuri nilikuja kugundua kuwa katika kipindi ambacho alinitumia ile quote ndicho kipindi hicho hicho alianza usaliti.
 
Inaweza pia isiwe hivyo, kwanini uwaze negative? Ni kwamba hawana mazoea ya kuambiana au kutumiana msg za kimapenzi, wao ni mwendo wa kijeshijeshi tu siku zote. Mkiwa na mazoea hayo wala hutashtuka msg kama hiyo
Huoni kasema from no were jingine kwani mke anakua na wangapi mpaka aseme yupo pekee?

Kajistukia na huenda asirudie tena nnashaka hakufanywa vizuri
 
From nowhere means hawana mazoea hayo. Wengine tunakurupuka tu kumtumia mume msg muda wowote na siku yoyote, na hawezi shangaa maana ni utaratibu
 
Ukisoma comment za humu nachoka kabisa. Watu hawana upendo ndani ya nyoyo zao, hawajui kupendwa, sijui kwasababu ile tabia ya wazazi wetu kushindwa kusema nakupenda mwanangu hata mara moja kwa miaka mitano ndio inakua mpaka kwenye mahusiano yetu inatuathiri.

Naamini we jamaa hiyo sio lugha yako ya mapenzi ndio maana huelewi, nyie ndio wale ambao watu hatuwaelewi hisia zako, hisia zilishachakazwa.
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!
 
Wadau wanazidi kuchochea kuwa amesalitiwa, unadhani jamaa atampemda tena mke wake? Atakuwa hana amani maskini na ukute hajamsaliti. JF inaharibu sana mahusiano ya watu..Mambo mengine bora mtu ukae kimya kuliko kuyaleta humu
 
From nowhere means hawana mazoea hayo. Wengine tunakurupuka tu kumtumia mume msg muda wowote na siku yoyote, na hawezi shangaa maana ni utaratibu
Acha basi kukaza fikra zimekuja hapo hawana mazoea.
Halafuuu tazama na mawazo ya walio wengi.
Kateleza namna ya kufikisha ujumbe umfichua maovu yake
 
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!
Yani changamoto. Mahusiano ya mbali kuna wakati unaamua kumkumbusha mwenza wako vile anamaanisha katika maisha au moyo wako nayo inakua shida
 
Wadau wanazidi kuchochea kuwa amesalitiwa, unadhani jamaa atampemda tena mke wake? Atakuwa hana amani maskini na ukute hajamsaliti. JF inaharibu sana mahusiano ya watu..Mambo mengine bora mtu ukae kimya kuliko kuyaleta humu
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!
Hii komenti yake nyingine mumeioma Lakini ?
[emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]

Mkuu hata usingizi hauji sielewi kabisa, nimejaribu kumuelekeza izo kauli na jambo jingine lilikua haliposawa akawa kwenyesimu haongei, namwambia mbona huongei anasema nakusikia ila nikiongea hanijibu mwishoe nikaamua nikate simu, ila moyo unaniuma, nimepiga tena hapokei na najua kesho atadai nilipokata cm alilala da! Sijui yan
 
Acha basi kukaza fikra zimekuja hapo hawana mazoea.
Halafuuu tazama na mawazo ya walio wengi.
Kateleza namna ya kufikisha ujumbe umfichua maovu yake
Ingekuwa mimi ningeichukulia positively, maisha haya yanini kuupa moyo maradhi? Kama aemfanya huko, guilt inamuumiza ndio kaamua kuyamaliza hivyo.
 
Nashindwa tu kuelewa kwa nini watu wasiichukulie ina positive way, yaani mama wa watu kajitahidi kuwa romantic, anajua distance ni issue kaamua kabisa kuthibitisha kuwa man, upo alone usiwe na wasiwasi. Jamaa tayari amepanic, hatari hii!
Inauma mkuu acha watu wawe halisi kuna waliotoa na shuhuda.
Na hata mtoa mada kwenye mahojiono ya kwanza imeonyesha wazi kama kuna ziada
 
Ha haaa Jamani, anamkumbusha tu kuwa anae yeye tu. Acha basi kucomplicate mambo. Hebu hiyo msg tuiandike kidhungu tuone itasound vipi
..teeeh, sasa ndani ya ndoa hili si lipo wazi kuwa nipo peke yangu, kama ingekuwa mahusiano ya kawaida hapo sawa ila ndani ya ndoa unakuja na statement hiyo mmmh, eti sina mwingine zaidi yako haha, inawezekana kukawa na shida hapo!
 
Hii komenti yake nyingine mumeioma Lakini ?
[emoji1427][emoji1427][emoji1427][emoji1427]
Hata ningekua mimi ningekaa kimya na nisipokee simu akipiga. Yani kumbe tayari kuna jambo lingine lilikua haliko sawa, naamini huyo dada kutokana na hayo mengine kutokua sawa akaamua kumkumbusha mpenzi wake hata kama bado kuna kamgogoro ajue bado anampenda kuliko mtu yeyote. Bado tena unanipigia simu unaniuliza kwanini nimekuambia nakupenda shida imekua hiyo kuliko mtu/mwanaume yeyote.

The lady is in abusive relationship na hivi wako mbali atapata psychological torture sana.
 
..teeeh, sasa ndani ya ndoa hili si lipo wazi kuwa nipo peke yangu, kama ingekuwa mahusiano ya kawaida hapo sawa ila ndani ya ndoa unakuja na statement hiyo mmmh, eti sina mwingine zaidi yako haha, inawezekana kukawa na shida hapo!
Nakupenda wewe peke yako, you are the only one, you are my number one..([emoji1787][emoji1787][emoji1787] means kuna namba two, three....na kuendelea)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom