From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

Puuzia tu.
Hivyo vimisemo ananitamkiaga sana yf nikiwa nampiga show ila hata sijisumbui navyo.Atajua mwenyewe.Yeye ndio anajua ukwel.Kama unamuamin poa kama humwamin pia fresh.baki na msimamo wako.

Hiyo message mjibu tu "HAINA NOMA YF.TUKO PAMOJA"
maturity....
 
Mmmh kujiamini gani huko, kwani mke wa ndoa anategemewa kuwa na mwingine zaidi ya mumewe?
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo kosa ni kusema Hana mwingine Zaid yake!!!
Lolote linawezekanika either Kuna shida au hakuna.

Akili kumkichwa

Balaa zito
 
We Ni genius ,.ndo nlichowaza na mimi
Huyo katoka kumegwa kakuta alivyotarajia sicho alichokipata anajutia nafsi yake
Pengine alijua atakutana na show kali kuliko yako amekuta tofauti
 
Blaza jua Kuna kitu..vyuma vimeumana huko
FB_IMG_16098543700425438.jpeg
 
Panic at ur own risk
I made peace with the situation, chochote atakachokifanya basi sawa ninachoona ni-focus katika mambo yangu, but i don't think if I will be royal to these creatures any more.
 
Mbona unaanza kulalamika mapema kabla ya kujua kama kashaliwa au ni mahaba yake tu kwako?
I made peace with the situation, chochote atakachokifanya basi sawa ninachoona ni-focus katika mambo yangu, but i don't think if I will be royal to these creatures any more.
 
Usiwaze sana negative mkuu, shukuru mkeo anakukumbusha kuwa anakupenda.
 
"Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.

Kama ulimuoa akiwa na bikra usalama upo.
Lakini kama alimuoa akiwa hana bikra hata asingekutumia hiyo text bado hakuna usalama
 
Wewe endelea kukuna nazi, wenzio wanachapa ubwabwa. Hapo ujue demu lako limeshakunwa kisawasawa na lijari la kitaani na sasa anakusanifu fala wake.
 
sio yako alikuwa ananitupia mimi mwambie nampenda pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom